JF ninaomba sala zenu leo ni kura za maoni!

Whaaat! umesomea meli? sijawahi kusikia mtu anasomea meli as meli bila specification! unaweza ukaniambia ni kozi gani ya meli ulichukua? navigation, marine engineering, ship construction or what? maana ukisema ulisomea meli it's too general na unatuchanganya, usije ukawa ulidandia meli halafu unatuletea ujuzi wa kubambanya hapa!

- HA! ha! ha! nimesomea Marine Engenering, yaani Engeneer wa Meli, nimefanya kazi Kampuni ya meli ya CMB-Belgian Line kwenye meli ya MV. Luxemburg, kazi ya meli ilikuwa kubeba udongo wa aina ya Coal, kuutoa kila kona ya Dunia unapopatikana kuuleta Belgium, katika mji unaoitwa Gent, makao makuu ya kampuni yangu yalikuwa Antwerpen, Belgium. hope imeleweka now! ha! ha! ha! ha! ha!

Le Mutuz
 
slaa ana mbebs wa ukweli kaka
by the way mbona umerudi tena jf si uliaga jamani?

- ha! ha! ha! I mean this wasap Mbebs wa ukweeee!! ha! ha! ha! kwani nini bro nakukosesha raha nikija hapa au what? I am a Capitalists so always turning anything into a gold, understand that!!

le mutuz
 
wala hunikoseshi raha mkuu wangu wa mabebs wa ukweli wa uk kama vipi tunajipanga au sio?
nimeuliza tu maana uliaga hapa
ila kama vipi karibu sana
MMU unatafutwa kwa interview kule ambayo inasemekana haijawai kutokea katika historia ya jf upo tayari kamanda?
 
Papaa Le Mutuz...kijana anayesubiri kulipwa fadhila...
in otherwords you can call him a looser,,umri wake ni tofauti na matendo yake.

- ha! ha! ha! ha! Mtu niliyepewa dhamana na wananchi wa Taifa hili kumchagua Rais wako anayefuata na pia kumchagua Mwenyekiti wa sasa wa CCM na Rais wako wa sasa unasema whaaat? ha! ha! ok lets say wewe matendo yako ni sawa na umri wako nini rank yako katika uongozi wa Chadema? mamennn! ha! ha!

Le Mutuz
 
wala hunikoseshi raha mkuu wangu wa mabebs wa ukweli wa uk kama vipi tunajipanga au sio?
nimeuliza tu maana uliaga hapa
ila kama vipi karibu sana
MMU unatafutwa kwa interview kule ambayo inasemekana haijawai kutokea katika historia ya jf upo tayari kamanda?

- I am a politician na Mjasiriamali so ninaenda popote ninapoona pana faida hizo mbili kwangu yaani siasa na biashara, ni kweli kuna walioniomba kufanya interiview hiyo unayoisema, niliwaambia kwa sasa nipo busy sana ninaijenga kampuni yangu mpya, lakini nikiwa sawa tu haina noma sijawahi kukimbia interview hata siku moja I love it tena kwa sana, so relax mtuwangu haina noma!!

- so kama ni mwanasiasa bongo na huwezi kuja hapa JF kusulubiwa kama Le Big Show, basi bado hujaiva kama vipi!!

You don't present yourself like neither a politician nor a business man. In fact you present yourself as a man suffering from midlife crisis.
 
- ha! ha1 ha! ha! hiii imenivunja mbavu sana! one page mamen!!, kumbe darasa langu hapa linaeleweka!! supa sana

Le Mutuz
serious mkuu........ fanya biashara achana na siasa, haina tija zaidi ya kukuweka kimavi tu

una kampuni, focus on it and networking siasa waachie wengine mkuu

one...........
 
- I am a politician na Mjasiriamali so ninaenda popote ninapoona pana faida hizo mbili kwangu yaani siasa na biashara, ni kweli kuna walioniomba kufanya interiview hiyo unayoisema, niliwaambia kwa sasa nipo busy sana ninaijenga kampuni yangu mpya, lakini nikiwa sawa tu haina noma sijawahi kukimbia interview hata siku moja I love it tena kwa sana, so relax mtuwangu haina noma!!

- so kama ni mwanasiasa bongo na huwezi kuja hapa JF kusulubiwa kama Le Big Show, basi bado hujaiva kama vipi!!

le mutuz
nakuaminia jembe
pamoja sana
 
- Kwa hiyo una maana Slaa hafai kwa sababu alimuacha mke na watoto au? ha! ha! ha!, unajua haya huwa ni maneno ya my exwife na familia yake, I feel very sorry for them it is over haitakuja kurudia tena, you know! ha! ha! ha! ha!

Le Mutuz

mkuu sala hazikusaidia? Ha ha haaa... Kajitakase tena yaelekea una mawaa sana Ha! ha! Ha! Haaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa...! Ee Mungu nisamehe bure, Ha! Ha! Haaaaaaaaaa! Duh!
 
huyu jamaa huwa simpendi sijui kwanini....mungu anisamee tu

Ha ha huyu jamaa nampenda sana kwani mtu wa ajabu sana ukimuona hutaamini ananachokiandika is just a Nomeclechur hapa duniani.
 
- ha! ha! ha! ha! Mtu niliyepewa dhamana na wananchi wa Taifa hili kumchagua Rais wako anayefuata na pia kumchagua Mwenyekiti wa sasa wa CCM na Rais wako wa sasa unasema whaaat? ha! ha! ok lets say wewe matendo yako ni sawa na umri wako nini rank yako katika uongozi wa Chadema? mamennn! ha! ha!

Le Mutuz

Rais ajaye hawezi kutoka CCM otherwise uwe unaumwa ugonjwa wa akili
But ni lini utakomaa kiakili ili uendane na umri wako?..
I will always call you a looser
 
i agree bro kuwa wanawaki ni part ya jamii BUT NOT AS U TREAT WW..ww umegeuza wanawake ni wakuchukulia ujiko na kuwadanganya kuwa utawaoa while hakuna kitu,na bahati mbaya mzee Malecela hakuwa fisad kwa hiyo ww umechoka tofauti na watoto wa vigogo wenzio kwa hiyo unaish maisha ya kubangaiza tu mjini kama sisi akina mlopelo,we achana na siasa fanya mambo mengine bhana,endelea na kazi yako ya ubahalia maisha yanasonga..
KAMA MTU MWENYE NDOTO YA KUWA KIONGOZI HUWEZI WEKA PC ZA WANAWAKE KWENYE BLOG YAKO USEME UPIGIWE KURA NA WATU ILI UMPATE MBEBS(KAMA UNAVYOWAITA WW=WANAWAKE) WA KUOA..KIUKWELI UMETUDHALILISHA SANA WANA CCM...MBONA WW JINA LA BABA AKO LINAKUBEBA NENDA POPOTE PALE UTANGOA TU WA KUOA,,,ACHA MAMBO HIZO LEMUTUZ
 
- Ughaibuni nimesomea Meli, Criminology na Political Science, toka nimerudi bongo nimegombea uongozi wa Taifa na kushinda so mimi ni Mjumbe wa Mkutano Mkuu wa CCM Taifa, majuzi nimemchagua Mwenyekiti wa CCM na 2015 nitamchagua mgombea urais, binafsi nina kampuni yangu inaitwa Agapeo Company Inc. nina ofisi plae next na Southern Sun Hotel, nina deal na kuuza na kununua nyumba, media ads na enteratinment.

- Pia politically ni Mjumbe wa Baraza La Taifa la Wazazi/ccm na Baraza la Taifa la UV-CCM, so elimu imenisaidia sana klama nisingekwua nayo imagine ningekuwa wapi? ha! ha!

Le Mutuz

uuwi! Maawe! Uko UVCCM, Mmh! Kwani we kijana?
 
You don't present yourself like neither a politician nor a business man. In fact you present yourself as a man suffering from midlife crisis.

- sO THIS MUST BE A FORUM OF PEOPLE WHO ARE SUFFERRING FROM MIDLIFE CRISIS, HOW COULD I ATTRACT 20 PAGES FROM NORMAL PEOPLE? HA! HA1 HA! HA1

lE mUTUZ
 
serious mkuu........ fanya biashara achana na siasa, haina tija zaidi ya kukuweka kimavi tu

una kampuni, focus on it and networking siasa waachie wengine mkuu

one...........

- LET ME UNDERSTAND THIS, SIJUI SIASA LAKINI NINAWEZA KUVUTA PAGE 20 KATIKA JAMIIFORUMS NA HUKU SIJUI SIASA KABISA KAMA UNAVYOSEMA? MHHHHHHHHHH REALLY? HA! HA1 HA!

lE mUTUZ
 
huyu jamaa huwa simpendi sijui kwanini....mungu anisamee tu

- what tofauti does it makes in mylife? I mean great thinker unafikiri tupo hapa kupendana? Nah! Tupo hapa to play the game of politics kama vipi sio kupendana!! Ha! Ha! Ha!

Le mutuz
 
Back
Top Bottom