JF ninaomba sala zenu leo ni kura za maoni!

[[ITS not about knowing him-the crux of the matter huyu jamaa kashusha sana nondo humu JF-hiyo atuwezi ku argue

- Sijashusha anything zaidi ya kuwa me na always mkweli ndio kawaida yangu, kwa kuwa hunijui kwa karibu ni haki yako kusema anything ila wanaonijua kwa karibu they know me huwa sina unafiki ni straight to the line!! wewe ulikuwa hunijui tu!!

Le Mutuz
 
Samahani nikuulize Kule ughaibuni ulikuwa unasoma kitu gani? Je imekusaidiaje yaani sasa unatumiaje

- Ughaibuni nimesomea Meli, Criminology na Political Science, toka nimerudi bongo nimegombea uongozi wa Taifa na kushinda so mimi ni Mjumbe wa Mkutano Mkuu wa CCM Taifa, majuzi nimemchagua Mwenyekiti wa CCM na 2015 nitamchagua mgombea urais, binafsi nina kampuni yangu inaitwa Agapeo Company Inc. nina ofisi plae next na Southern Sun Hotel, nina deal na kuuza na kununua nyumba, media ads na enteratinment.

- Pia politically ni Mjumbe wa Baraza La Taifa la Wazazi/ccm na Baraza la Taifa la UV-CCM, so elimu imenisaidia sana klama nisingekwua nayo imagine ningekuwa wapi? ha! ha!

Le Mutuz
 
- Sijashusha anything zaidi ya kuwa me na always mkweli ndio kawaida yangu, kwa kuwa hunijui kwa karibu ni haki yako kusema anything ila wanaonijua kwa karibu they know me huwa sina unafiki ni straight to the line!! wewe ulikuwa hunijui tu!!

Le Mutuz
i guess i will have to agree with you;it seems mid life crisis has taken its toil on you;stand up man and you shall overcome
 
- aghhhhrrrr swagaz za kawaida kwa sababu sikubaliani na mwazzo yako ya kichadema chadema so ninakuwa crisis ila ningekwua nakubaliana na amwazo yako ningekwua powa si ndio? ha! ha1 ha!

Le Mutuz
 
- Ughaibuni nimesomea Meli, Criminology na Political Science, toka nimerudi bongo nimegombea uongozi wa Taifa na kushinda so mimi ni Mjumbe wa Mkutano Mkuu wa CCM Taifa, majuzi nimemchagua Mwenyekiti wa CCM na 2015 nitamchagua mgombea urais, binafsi nina kampuni yangu inaitwa Agapeo Company Inc. nina ofisi plae next na Southern Sun Hotel, nina deal na kuuza na kununua nyumba, media ads na enteratinment.

- Pia politically ni Mjumbe wa Baraza La Taifa la Wazazi/ccm na Baraza la Taifa la UV-CCM, so elimu imenisaidia sana klama nisingekwua nayo imagine ningekuwa wapi? ha! ha!

Le Mutuz

Asante mkuu
 
Papaa Le Mutuz...kijana anayesubiri kulipwa fadhila...
in otherwords you can call him a looser,,umri wake ni tofauti na matendo yake.
 
Hahahaha
Naona umerudi na umeipumzisha ile id yako

- Wanawake ni part ya Jamii wachana na mfumo dume, sasa kuna usawa ndugu yangu tunataka bunge lijalo liwe 50% kati ya wanaume na wanawake, vipi mbona una hasira sana na kina mama ulizaliwa na baba peke yake nini? duh!

Le Mutuz
 
- Ughaibuni nimesomea Meli, Criminology na Political Science, toka nimerudi bongo nimegombea uongozi wa Taifa na kushinda so mimi ni Mjumbe wa Mkutano Mkuu wa CCM Taifa, majuzi nimemchagua Mwenyekiti wa CCM na 2015 nitamchagua mgombea urais, binafsi nina kampuni yangu inaitwa Agapeo Company Inc. nina ofisi plae next na Southern Sun Hotel, nina deal na kuuza na kununua nyumba, media ads na enteratinment.

- Pia politically ni Mjumbe wa Baraza La Taifa la Wazazi/ccm na Baraza la Taifa la UV-CCM, so elimu imenisaidia sana klama nisingekwua nayo imagine ningekuwa wapi? ha! ha!

Le Mutuz

Whaaat! umesomea meli? sijawahi kusikia mtu anasomea meli as meli bila specification! unaweza ukaniambia ni kozi gani ya meli ulichukua? navigation, marine engineering, ship construction or what? maana ukisema ulisomea meli it's too general na unatuchanganya, usije ukawa ulidandia meli halafu unatuletea ujuzi wa kubambanya hapa!
 
Ni sawa tu nimesomea nyumba, nimesomea gari, nimesomea train, nimesomea shamba hahaha chai ziko hivyo maana wabongo wanaogopa meli una asume hawajui specifics. Mtu na elimu na cheo kama hikinunatakiwa ukitaja walau unakuwa specific
 
Whaaat! umesomea meli? sijawahi kusikia mtu anasomea meli as meli bila specification! unaweza ukaniambia ni kozi gani ya meli ulichukua? navigation, marine engineering, ship construction or what? maana ukisema ulisomea meli it's too general na unatuchanganya, usije ukawa ulidandia meli halafu unatuletea ujuzi wa kubambanya hapa!

Hata mimi huwa na mashaka na elimu ya Le Mutuz!!! May be kwa kuwa ni ya kuungaunga.
 
Mtu asiyeweza kuitunza familia yake, au kwa lugha nyingine ambaye ametelekeza familia yake. Atawezaje kuwahudumia wananchi?
 
- Ughaibuni nimesomea Meli, Criminology na Political Science, toka nimerudi bongo nimegombea uongozi wa Taifa na kushinda so mimi ni Mjumbe wa Mkutano Mkuu wa CCM Taifa, majuzi nimemchagua Mwenyekiti wa CCM na 2015 nitamchagua mgombea urais, binafsi nina kampuni yangu inaitwa Agapeo Company Inc. nina ofisi plae next na Southern Sun Hotel, nina deal na kuuza na kununua nyumba, media ads na enteratinment.

- Pia politically ni Mjumbe wa Baraza La Taifa la Wazazi/ccm na Baraza la Taifa la UV-CCM, so elimu imenisaidia sana klama nisingekwua nayo imagine ningekuwa wapi? ha! ha!

Le Mutuz
Kaza buti kaka.... Siasa iwe namba mbili
 
Mtu asiyeweza kuitunza familia yake, au kwa lugha nyingine ambaye ametelekeza familia yake. Atawezaje kuwahudumia wananchi?

- Kwa hiyo una maana Slaa hafai kwa sababu alimuacha mke na watoto au? ha! ha! ha!, unajua haya huwa ni maneno ya my exwife na familia yake, I feel very sorry for them it is over haitakuja kurudia tena, you know! ha! ha! ha! ha!

Le Mutuz
 
Back
Top Bottom