JF ninaomba sala zenu leo ni kura za maoni!

mkuu sala hazikusaidia? Ha ha haaa... Kajitakase tena yaelekea una mawaa sana ha! Ha! Ha! Haaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa...! Ee mungu nisamehe bure, ha! Ha! Haaaaaaaaaa! Duh!

- zisingesaidia nisingekuwa mjumbe wa mkutano mkuu wa ccm taifa mpaka kukuchagulia rais, vipi kwani wewe ni kiongozi wa taifa kama mimi au naongea na mwananchi tu wa kawaida? Ha! Ha! Ha!

Le mutuz
 
rais ajaye hawezi kutoka ccm otherwise uwe unaumwa ugonjwa wa akili
but ni lini utakomaa kiakili ili uendane na umri wako?..
I will always call you a looser

- ok so nikisema rais atatoka chadema nitakuwa sawa na umri wangu, kama unavyotaka au? Ha! Ha1

le mutuz
 
i agree bro kuwa wanawaki ni part ya jamii but not as u treat ww..ww umegeuza wanawake ni wakuchukulia ujiko na kuwadanganya kuwa utawaoa while hakuna kitu,na bahati mbaya mzee malecela hakuwa fisad kwa hiyo ww umechoka tofauti na watoto wa vigogo wenzio kwa hiyo unaish maisha ya kubangaiza tu mjini kama sisi akina mlopelo,we achana na siasa fanya mambo mengine bhana,endelea na kazi yako ya ubahalia maisha yanasonga..
Kama mtu mwenye ndoto ya kuwa kiongozi huwezi weka pc za wanawake kwenye blog yako useme upigiwe kura na watu ili umpate mbebs(kama unavyowaita ww=wanawake) wa kuoa..kiukweli umetudhalilisha sana wana ccm...mbona ww jina la baba ako linakubeba nenda popote pale utangoa tu wa kuoa,,,acha mambo hizo lemutuz

- blog ni biashara so in it we do what business wants, nashukuru kujua kwamba unashinda kwenye blog kila siku saafi saana, mengine ni waste na wala hayanihusu, ninaendelea na maisha yangu kama kawa!! Kesho nitakuwa kawe kama mgeni rasmi wa mkutano wa uc-ccm mkoa, so karibu sana!!

Le mutuz!!
 
Kila la kheri mtani.
Wana JF, leo ninakwenda kusimama mbele ya Wabunge wote wa CCM kuomba kupitishwa kwenye kura zao za maoni ya kugombea Ubunge wa EAC, ninaamini niaenda pale nikiiwakilisha JF sasa ni muhimu sana leo tukaweka tofauti ya itikiadi zetu pembeni na kwua kitu kimoja katika kuombeana na kutakiana heri, kupita kwangu ni kupita kwa JF.

- Nimesema huko nyuma na ninasema tena mimi Mwanachama wa CCM, tena hai na wa muda mrefu sana toka mwaka 1982 nikiwa JKT Oljoro kwa mujibu wa sheria ya mwaka mmoja baada ya kusomeshwa bure na Serikali ya Awamu ya kwanza. Nia na madhumuni yangu siku zote ni mabadiliko ya mwenendo wa kisiasa kwa taifa letu, ili tuweze kusonga mbele kulingana na wakati, ninaamini kwamba wengine wakija na ideas kutoka upinzani na wengine tukija na the same ideas kutokea ndani ya CCM, siku moja tutalisaidia taifa letu kufikia pahali linapotakiwa kwa nyakati hizi za kisayansi.

- Kwa kifupi ninataka kwenda EAC, ili kulisimamia taifa langu kwenye masuala ya interest za kiuchumi na hasa Ardhi yetu nikiwa ninajua kwamba nchi zingine Nne za Jumuiya hazina sheria za serikali za kusimamia Ardhi zao kwa sababu hata hiyo Ardhi hawana tena yote ilishanunuliwa na wananchi wao, sisi tu ndio bado tuna Ardhi inayosimamiwa kisheria na serikali yetu. Pia ninataka kuhakikisha Tanzania haturudii tena makosa ya nyuma ya kushirki kwenye Jumuiya iliyokufa mwaka 1977, ambapo ilipokufa sisi tuliumia sana kwa sababu tulikuwa tumejikita sana huko, infact mpaka leo kuna areas kama za Airline na Railways, bado tumeshindwa ku-recover, sitaki Tanzania tukimbizwe na Kenya walivunja Jumuiya ya kwanza kwenye One Currency na Political Federation, ninasema kwamba tujifunze kuwa EU sasa hivi iko matatizoni ni kwa sababu ya mbio mbio za kuanzisha jumuiya hiyo bila utafiti wa kutosha.

Kwa hayo machache ninaomba kuwaomba JF wote leo tujaribu kuombeana heri ili tupite kwa sababu kupita kwangu ni kupita kwa JF pia!

MUNGU AIBARIKI TANZANIA NA PIA AIBARIKI JF KUMKOMA NYANI1

William.
 
- LET ME UNDERSTAND THIS, SIJUI SIASA LAKINI NINAWEZA KUVUTA PAGE 20 KATIKA JAMIIFORUMS NA HUKU SIJUI SIASA KABISA KAMA UNAVYOSEMA? MHHHHHHHHHH REALLY? HA! HA1 HA!

lE mUTUZ
Learn to read and understand, sijasema hujui siasa, nimesema achana na saisa zinakuwekea kimavi!!!!
 
- Kwa hiyo una maana Slaa hafai kwa sababu alimuacha mke na watoto au? ha! ha! ha!, unajua haya huwa ni maneno ya my exwife na familia yake, I feel very sorry for them it is over haitakuja kurudia tena, you know! ha! ha! ha! ha!

Le Mutuz

....usiwasemee wenzako yaani huwezi kujieleza bila kumtaja Slaa au Mbowe? Slaa anapatana na mkewe na hajatelekeza familia. Yaani wewe unakiri kabisa umetelekeza? sijui kama hayo ni maneno ya ur x najua kutoka kwako na umethibitisha hapa.

ha! ha! ha! ha!
 
27 Reactions
Reply
Back
Top Bottom