JF na nicknames.......

Yani wewe. . . .
Badala ya kusema utakuja kunichukua unipeleke lunch unasema nikufuate sijui nikukute? Kweli u-gentleman KIPAJI!!
basi kesho nitamtuma dereva wangu atakuja na li jaguar langu jipya and he will be in uniform (mpaka gloves),aku pick saa ngapi?
(btw umeona mambo ya AD lakini?mpe tahadhari kuwa atantoa roho jamani).
 
@bishanga
basi leo hulali kisa AD kakuomba uwe valentine
na hivi una vidole nchi10 vitagusa dari leo.
 
basi kesho nitamtuma dereva wangu atakuja na li jaguar langu jipya and he will be in uniform (mpaka gloves),aku pick saa ngapi?
(btw umeona mambo ya AD lakini?mpe tahadhari kuwa atantoa roho jamani).

Nitumie dereva niondoke nae.
Alafu AD nilimwambia akuzingue. . pole ehhh!!Nenda kameze dawa presha ishuke.
 
Nitumie dereva niondoke nae.
Alafu AD nilimwambia akuzingue. . pole ehhh!!Nenda kameze dawa presha ishuke.
wivu sina roho inauma eh.....hahahahaa .....mbona kaniPM na tushapanga miadi ya kwenda maldives?
 
Dena Amsi -Shangingi la jf.......lol

Faizafoxy-jf celebrity no 1.....
 
Ameen!
Hapa mzee wa upako inabidi ahusishwe,mweh!
E Mola ,mwingi wa rehema,mjalie mja wako The Boss,abadilike,awe mtu mwema,awe mtu kareem,afuate maadili mema,aachane na mambo ya VITUMBUA, awe mtu safi kama Bishanga,Ameen!
 
Tooobah sibukhana!
Halafu sioni kitufe cha kuripoti abuse!
0043.gif

he he he
ndio utajua raha ya dira lichomekwe kwenye nguo ya ndani
AD keshamchukua
wambea tunasubiri mvurumuane

afu alikuwa kakuwekea ile taarabu ya mzee yusuf
eti mwanamke gani mdomo kama filimbi
hufai kwa lipstik

usintaje, nimekuibia siri tu
si unajua tena weee shogaa angu.
Tooobah sibukhana!
Halafu sioni kitufe cha kuripoti abuse!
 
Back
Top Bottom