sweetlady
JF-Expert Member
- Dec 24, 2010
- 16,947
- 8,409
Mwaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaah! I love you too Bishanga!mmmmmmmwwwwwwwaaaaaa,i love you from ze botom of my hat!
Mwaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaah! I love you too Bishanga!mmmmmmmwwwwwwwaaaaaa,i love you from ze botom of my hat!
@SL and byshernger, acheni kutongozana hadharani, get a rum, oyah!
wee Gchokest, nina bonge la pikipiki nakata mitaa kiulainiii
Khaaa! Kongosho thibitisha au kanusha ulichoandika kabla sijaomba mwongozo kwa PAW! Wapi umeona tumetongozana na Bishanga?@SL and byshernger, acheni kutongozana hadharani, get a rum, oyah!
wee Gchokest, nina bonge la pikipiki nakata mitaa kiulainiii
Anamaanisha anawaonea wivu!! Hakuna haja ya kuwasiliana na PAW wewe dunda tu na bishanga wako, kama vipi mpotezee!!Khaaa! Kongosho thibitisha au kanusha ulichoandika kabla sijaomba mwongozo kwa PAW! Wapi umeona tumetongozana na Bishanga?
Hahaha! Asante kwa kunishitua!.. Ukimuona kongosho popote alipo mwambie wivu ni kidonda na akishiriki atakonda...Anamaanisha anawaonea wivu!! Hakuna haja ya kuwasiliana na PAW wewe dunda tu na bishanga wako, kama vipi mpotezee!!
Khaaa! Kongosho thibitisha au kanusha ulichoandika kabla sijaomba mwongozo kwa PAW! Wapi umeona tumetongozana na Bishanga?
Hahaha! Asante kwa kunishitua!.. Ukimuona kongosho popote alipo mwambie wivu ni kidonda na akishiriki atakonda...
Ni jambo la kawaida wanajamii kupeana 'nicknames', mimi nimeshuka na hizi:
Bishanga- tajiri la kihaya
Aspirin- babu revola
Lizzy-condoliza rice
Kongosho-AC/DC
AD-mama maua
Michelle-mrs HC
Faiza foxy-Ana makinda
Kabakabana-zipu mkononi
Cantalisia-binti mtambuzi
Mtambuzi-mzee wa busara
Husninyo-miss mpwapwa
The Boss-mzee wa nyumba ndogo
Fidel-infi wa ukweli
Figanniga - .........
popobawa - ......
...........- binti mcharuko
..........-chakubimbi
dena - chaukali
jazieni hizo dot dot (mi naogopa ban) na kisha tuendelee......