JF na nicknames.......

PAW ananiaminia, issue ndogo ndogo kama hizi kaniruhusu nimalize na gun!
Bishanga leta kiuno hapa, mama koku malalamiko yake ya infii niya-solve once and for all!

mmmhhhh we nitwange ya kichwa tu aisee,maana huko kwingine nouuuuuuma!
 
Hakikisha hicho kitu kinakuwa kizuri cha kunifurahisha lol.... Afu mbona nakumiss sana kongosho?....
chonde chonde SL kuna mtu unamuweka roho juu kwa matamshi haya..........
(TF werayu? unaibiwa.......)
 
Bishanga, The Boss sio mzee wa nyumba ndogo as you say. Ni MZEE WA VITUMBUA.
Source: The Boss mwenyewe. Shahidi: FaizaFoxy.
Aliko yasemea: Thread ya utambulisho ya MZEE WA MBUNYE (Ashakum si matusi)
E Mola ,mwingi wa rehema,mjalie mja wako The Boss,abadilike,awe mtu mwema,awe mtu kareem,afuate maadili mema,aachane na mambo ya VITUMBUA, awe mtu safi kama Bishanga,Ameen!
 
Ni jambo la kawaida wanajamii kupeana 'nicknames', mimi nimeshuka na hizi:
Bishanga- tajiri la kihaya
Aspirin- babu revola
Lizzy-condoliza rice
Kongosho-AC/DC
AD-mama maua
Michelle-mrs HC
Faiza foxy-Ana makinda
Kabakabana-zipu mkononi
Cantalisia-binti mtambuzi
Mtambuzi-mzee wa busara
Husninyo-miss mpwapwa
The Boss-mzee wa nyumba ndogo
Fidel-infi wa ukweli
Figanniga - .........
popobawa - ......
...........- binti mcharuko
..........-chakubimbi
dena - chaukali
jazieni hizo dot dot (mi naogopa ban) na kisha tuendelee......

Bishanga ..
Kwanini tu umenitungia mama maua duhhhh..
 
refer to your various birthday greetings katika jf!
so sweet are your greetings!

0043.gif


 
karibu lunch serena basi,utanikuta meza ya mwisho kushoto,ukitaka njoo na mashost wako pesa ipo.

Yani wewe. . . .
Badala ya kusema utakuja kunichukua unipeleke lunch unasema nikufuate sijui nikukute? Kweli u-gentleman KIPAJI!!
 
Back
Top Bottom