JF na nicknames.......

Heeeeeeeeeeh!
Mabigi!
Baby sister njoo tuongee chemba, mzee karibia anakata kauli huyu
Naomba ubadilishe hiyo nickname ya huyu Mwanangu Cantalisia, kwanza ananiweka roho juu kila siku humu, mpaka siku hizi siweki mambo yangu ya ujanani hadharani tena.................(kwa kudai M-Pesa ili asitoe siri ndio zake) hafai huyu kuwa Binti Mtambuzi. Pili sijui hata ndululu yake ya kununulia tumbaku, mtoto nimsomeshe halafu hataki hata kurudisha chenji yangu..............Mzee mwenzangu naomba ufanye editing uondoe hilo jina la Mtambuzi hapo kwenye jina lake.
 
Hahahahah!
Pole babangu,
Ndio ishaingia kwenye hansadi lol!
Cantalisia Bint Mtambuzi,naonyeshea msisitizo tu Baba
 
Heeeeeeeeeeh!
Mabigi!
Baby sister njoo tuongee chemba, mzee karibia anakata kauli huyu
Here i am sisy,
Kibubu chake kiko under arest yangu njoo na msumeno!
Nishampa habari yake mdingi,
Kachelewa nickname ishaingia kwenye hansadi!
Na hizo chenji hapati ng'o
 
Unadhani kupendwa na PAW issue ndogo eh? Acha nijishebedue mtoto wa kike,lol!
Nshajifagilia, afu eti kaona wivu anadai anamhurumia kakake! Huyu wifi siku hizi, sijui ananizunguka?
Kukuzunguka sina hakika, ana kitu chamsumbua sijaonana nae nimwulize kimeishia wapi? Alininong'oneza eti anahisi kaka yetu Kaizer hampendi kama zamani sasa usikute ameanza kutuonea wivu vile sie kaka zake wanatupenda kwa moyo wa dhati.. Chezeiya gubu la wifi wewe!.. Mie kule sipiti peke angu namsubiri kakake aje nijipitishe nae...lol
 
Kama nikikufa na presha, ujue utakuwa umechangia, na mama Ngina hatakuacha, sijui atakubeba na mbeleko gani........
Kufa hutakufa ila cha moto utakiona tu mdingi wangu,
Ungekuwa unafanya ule mpango wetu wala usingepata presha!
Na ukijua km kile kibubu chako kiko under arest yangu sijui km utapona lol!
 
Bishanga, The Boss sio mzee wa nyumba ndogo as you say. Ni MZEE WA VITUMBUA.
Source: The Boss mwenyewe. Shahidi: FaizaFoxy.
Aliko yasemea: Thread ya utambulisho ya MZEE WA MBUNYE (Ashakum si matusi)
 
Ni jambo la kawaida wanajamii kupeana 'nicknames', mimi nimeshuka na hizi:
Bishanga- tajiri la kihaya
Aspirin- babu revola
Lizzy-condoliza rice
Kongosho-AC/DC
AD-mama maua
Michelle-mrs HC
Faiza foxy-Ana makinda
Kabakabana-zipu mkononi
Cantalisia-binti mtambuzi
Mtambuzi-mzee wa busara
Husninyo-miss mpwapwa
The Boss-mzee wa nyumba ndogo
Fidel-infi wa ukweli
Figanniga - .........
popobawa - ......
...........- binti mcharuko
..........-chakubimbi
dena - chaukali
jazieni hizo dot dot (mi naogopa ban) na kisha tuendelee......

Huyo kwenye red huyo umemuonea aisee
 
ebu na mimi nipe nick name
 
Heshima yako kwa 'warembo' iko wapi?
Mi hua nafuatwa sio nafuata, na kuinama kwenye vidirisha vya gari nayo mwiko.
karibu lunch serena basi,utanikuta meza ya mwisho kushoto,ukitaka njoo na mashost wako pesa ipo.
 
Umeona domo tu, ule weusi na kitambi je? Matege nayo wamwachia nani?...lol.

Mie sijambo Bishanga, memiss wewe sana!

Jipe likizo kwa raha zako bana, maisha yenyewe mafupi ukifikiria kila dakika waweza zeeka siku sio zako..
weye wapenda weusi wenye matege?
 
Back
Top Bottom