The Finest
JF-Expert Member
- Jul 14, 2010
- 21,605
- 6,082
Najua kila mdada akiingia humu lazima macho yagonge kwenye namba 9Namba 9, umecheza pele wangu. nimepotea jamani nisameheni du!! ila fanyieni kazi hiyo Namba 9.
Najua kila mdada akiingia humu lazima macho yagonge kwenye namba 9Namba 9, umecheza pele wangu. nimepotea jamani nisameheni du!! ila fanyieni kazi hiyo Namba 9.
Hebu toa mchango wako basi bibie halafu kama nilikuona mjini vile umevaa high heels designer Jimmy Choo, halafu umevaa suti ya DKNY tulipopishana kama vile ulikuwa umepulizia perfume ya GIVENCHY na miwani ya designer Christian DiorHodi hodi
Hebu toa mchango wako basi bibie halafu kama nilikuona mjini vile umevaa high heels designer Jimmy Choo, halafu umevaa suti ya DKNY tulipopishana kama vile ulikuwa umepulizia perfume ya GIVENCHY na miwani ya designer Christian Dior
Mkuu utanisababishia ugonjwa wa moyo banaa lol!!!Mkuu, mimi nilimwona mitaa ya mjini kati karibu na askari Monument kavaa kama african Attire hivi kasuka rasta na ana vidani vya gems au vito. Alikuwa kavaa high heels, perfume nadhani ilikuwa hiyo Givenchy Mirrage sijui. Yuko portable kidogo design kama Avatar yake. Yaani kifupi alikuwa kama hivi:
`
Mkuu utanisababishia ugonjwa wa moyo banaa lol!!!
Ni kweli huyo FL1 kafanana na body marphology na sura kama huyu mdada, ngoja aaje akanushe hapa. Soma post yake hapo. Mi nadhani nilishamwona huyu!
Hahaha...Ni kweli huyo FL1 kafanana na body marphology na sura kama huyu mdada, ngoja aaje akanushe hapa. Soma post yake hapo. Mi nadhani nilishamwona huyu!
HahahaBibie unamfahamu kumbe? Hebu tujuze zaidi.
Halafu angalia isije ikawa ni umbea . . . mind you this is JF Mens talk . . .
`
Mkuu utanisababishia ugonjwa wa moyo banaa lol!!!
Umeanza na hivi sasa hivi ndio umeamua kuniwekea na surveillance camera ndio nitakaoma kabisa lolah ah ah jamani kha kweli duniani kuna mambo watu wanaweza kumaliza ugali kwa picha ya samaki lol
Umeanza na hivi sasa hivi ndio umeamua kuniwekea na surveillance camera ndio nitakaoma kabisa lol
Yamo mama, nilikuwa nashughulikia ishu mbili tatuah ah ah na bado utakoma kabisa unadhani mjini nilikuja kuhesabu gorofa?vp lkn maendeleo?hujaniambia chochote till now yaliyomo yamo?
Yamo mama, nilikuwa nashughulikia ishu mbili tatu
Hahaha!!! Kipipimoyoeeeh leo nimekuwa mama!haya mwanangu tunshukutu kama yaliyomo yamo.