JF Men Talks . . . This and That . . . .

Hey Guys . . .

2. Wapi akina baba tufanye shopping zetu binafsi na za familia pale ambapo wenzi wetu hawahusiki.
rubk2w.jpg
 
AD nina mdigo wangu jamani yuko humu humu tuna watoto watano,mnampa wasiwasi jamani leo hata shamba kupalilia hajaenda anataka tukae ndani tu,plz msimpe la huba wangu pressure nampenda mnoooooooo,TF ni swahiba tu.
Hahahahahahahah lol
TF beba mizigo yote ya zambi ... yaani waniacha mimi na watoto nyumbani halafu waenda out na mtu mwenye watoto na mume.. mbaya kabisa alikuwa rafiki yangu mmmhhhh
 
Bado ipo halafu jana niliona tangazo la TRA kwenye gazeti la Daily News kuhusiana na magari ambayo yame overstay kwenye Customs Bonded Warehouses yatapigwa bei muda si mrefu wenye nayo wasipoyakomboa in 30 days.

Sasa Kiongozi tukutane Mapema tuanze kufanya ground work. You never know . . . . LOL

Unaweza ukapata Mkoko wa ziada . . . ila sijui TF utafanyia nini cause nahisi una gari zaidi ya moja . . . . May be kama itakuwa X5/6 BMW
 
AD nina mdigo wangu jamani yuko humu humu tuna watoto watano,mnampa wasiwasi jamani leo hata shamba kupalilia hajaenda anataka tukae ndani tu,plz msimpe la huba wangu pressure nampenda mnoooooooo,TF ni swahiba tu.

Mambo hadharani . . . AD; Pearl na TF . . . semeni ukweli . . . jivueni magamba . . . LOL
 
ha ha ha wewe wasema kumbe kusutana ni jadi yetu eeh?

Haaa haaaa hujaona kwenye ile thread yenu ambayo wewe ni Moderator aka Chair . . .

Ila kama nimwewahi kukuona mitaaa ya mjini kati sister . . . kama ni wewe aiseeeee . . . duh we acha tu.
 
Sasa Kiongozi tukutane Mapema tuanze kufanya ground work. You never know . . . . LOL

Unaweza ukapata Mkoko wa ziada . . . ila sijui TF utafanyia nini cause nahisi una gari zaidi ya moja . . . . May be kama itakuwa X5/6 BMW
Hahaha hata baisikeli sina lol
 
Back
Top Bottom