JF Men Talks . . . This and That . . . .

Superman

JF-Expert Member
Mar 31, 2007
5,695
1,696
Hey Guys . . .

Kama mnavyojua, Wanaume tunayo majukumu mengi sana katika dunia hii na tuko mstari wa mbele katika mambo mbali mbali. Hata hivyo napenda zaidi tuongelee zaidi majukumu yetu ya kifamilia na kijamii na mambo mengine ya akina baba yanayotuhusu. In particular tuongelee mambo kama:

1. Ni maduka gani mazuri kuwanunulia wapenzi wetu vitu vizuri pale ambapo tunapenda kuwapa suprises.

2. Wapi akina baba tufanye shopping zetu binafsi na za familia pale ambapo wenzi wetu hawahusiki.

3. Wapi tuagize magari na kwa bei zipi na ni magari ya aina gani.

4. Majukumu gani ya ziada ya kijamii tunaweza kushiriki mbali na ya familia zetu.

5. Jinsi gani tunaweza kuprotect familia zetu kutokana na mambo mbalimbali yanaayoweza kutuathiri kama uharibifu wa tabia au ujambazi. Mfano kuwalinda watoto na influence mbaya, wapi pa kupata silaha za kujikinga na ni aina gani nzuri ya silaha n.k.

6. Wapi kwa kuwatoa wapenzi wetu (viota) na sehemu hizo zina uhuduma gani. Same kwa familia nzima.

7. Tuongelee juu ya fashions na jinsi ya kwenda na wakati bila kuwa "too much". i.e. Nguo za kuvaa, viatu, saa, glasses etc

8. Tuongelee ni aina gani ya wadada katika hali halisi wanafaa kuwa "Wenzi zetu wa maisha"

9. Tuongelee jinsi ya kuepuka vishawishi vinavyoweza kupelekea kupunguza mapenzi ya mwenzi wako na familia. i.e. kuepuka vimada.

10. Tuongelee mambo mbalimbali na vitu mbali mbali vinavyotugusa katika maisha yetu, . . . nk . . .

Karibuni ukumbini . . .
 
Sorry, nimepita tu. Sijasoma ulichoandika.

Sasa hivi unaweza kufanya shopping online ya vitu mbali mbali. Kama una uhakika na kitu gani mwenzi wako anapenda na unajua size yake unaweza kumnunulia kutoka katika mitandao mbalimbali ambayo iko trusted kama ebay, amazoni, alibaba express, tradecarview (paytrade) n.k.

Ukiwa na PAYPAL A/C ni rahisi kutuma pesa au unaweza kutumia Western Union. Kuna baadhi ya Bank unaweza kufungua Account ya Pay Pal.
 
oooh kumbe ni men na mm nimeingia kusudi coz mnapenda kuchungulia mada zetu,but anywei pia nipo kuiba mapoint ili na mm nimuweke sawa baba naniiiliu wangu
 
Sijui kwanini kila nikisoma naishia kwenye namba 7

Haaa haaa . . . Mkuu nimeshakuona ugonjwa wako . . . . No.7 inasema hivi:

Tuongelee juu ya fashions na jinsi ya kwenda na wakati bila kuwa "too much". i.e. Nguo za kuvaa, viatu, saa, glasses etc

Kama ni Mzee wa Pamba na Quality ya juu, basi utakuwa mtu wa AKY'S Mkuu.

Otherwise unaweza kupata some unbranded quality Kariakoo.

Pia kuna Mitumba first class I think Kariakoo Mnadani. Inategemea unaongelea item gani unahitaji.

Ngoja tuwasikie na wengine . . .
 
Sorry, nimepita tu. Sijasoma ulichoandika.

Acha hizo Sweetlady . . . kwani hukuona title? hizi topics hizi zitafaanya ID's's sizizojulikana jinsia zijulikane . . . Haaaa haaa karibu utupe company assuming you are a lady.
 
Hawa jamaa bana huwa wananiacha hoi tu kwenye bei zao
 
oooh kumbe ni men na mm nimeingia kusudi coz mnapenda kuchungulia mada zetu,but anywei pia nipo kuiba mapoint ili na mm nimuweke sawa baba naniiiliu wangu

Leo tutaona mengi . . . umesema wewe ni jinsia gani vile . . . ? lol
 
hahahahaha. Nimekuja kuchungulia makusudi kama wewe ulivyotuchungulia siku ileeeee!.... Nasubiri michango yenu nicopy na kupaste nipeleke kwa mupenzi.

Back
Top Bottom