JF Men Talks . . . This and That . . . .

Hodi hodi
Hebu toa mchango wako basi bibie halafu kama nilikuona mjini vile umevaa high heels designer Jimmy Choo, halafu umevaa suti ya DKNY tulipopishana kama vile ulikuwa umepulizia perfume ya GIVENCHY na miwani ya designer Christian Dior
 
Mkuu tusaidiane basi naona wanataka kunimaliza hawa

Mimi niko poa kama wanani-mind, ila shida utajuaje kama ni gamba au lala . . . Wao waelewane tu nani anakuja kwangu na nani anabaki kwako.

Haaaa haaaa hadi raha . . .
 
Hebu toa mchango wako basi bibie halafu kama nilikuona mjini vile umevaa high heels designer Jimmy Choo, halafu umevaa suti ya DKNY tulipopishana kama vile ulikuwa umepulizia perfume ya GIVENCHY na miwani ya designer Christian Dior

Mkuu, mimi nilimwona mitaa ya mjini kati karibu na askari Monument kavaa kama african Attire hivi kasuka rasta na ana vidani vya gems au vito. Alikuwa kavaa high heels, perfume nadhani ilikuwa hiyo Givenchy Mirrage sijui. Yuko portable kidogo design kama Avatar yake. Yaani kifupi alikuwa kama hivi:

attachment.php
 
Attachments

  • Picture1.jpg
    Picture1.jpg
    173.7 KB · Views: 154
`
Mkuu, mimi nilimwona mitaa ya mjini kati karibu na askari Monument kavaa kama african Attire hivi kasuka rasta na ana vidani vya gems au vito. Alikuwa kavaa high heels, perfume nadhani ilikuwa hiyo Givenchy Mirrage sijui. Yuko portable kidogo design kama Avatar yake. Yaani kifupi alikuwa kama hivi:

attachment.php
Mkuu utanisababishia ugonjwa wa moyo banaa lol!!!
 
Ni kweli huyo FL1 kafanana na body marphology na sura kama huyu mdada, ngoja aaje akanushe hapa. Soma post yake hapo. Mi nadhani nilishamwona huyu!

Bibie unamfahamu kumbe? Hebu tujuze zaidi.

Halafu angalia isije ikawa ni umbea . . . mind you this is JF Mens talk . . .
 
Kwa nini Ladies wengi waliochangia thread hii wako ancious na:

8. Tuongelee ni aina gani ya wadada katika hali halisi wanafaa kuwa "Wenzi zetu wa maisha"

9. Tuongelee jinsi ya kuepuka vishawishi vinavyoweza kupelekea kupunguza mapenzi ya mwenzi wako na familia. i.e. kuepuka vimada
 
ah ah ah jamani kha kweli duniani kuna mambo watu wanaweza kumaliza ugali kwa picha ya samaki lol
Umeanza na hivi sasa hivi ndio umeamua kuniwekea na surveillance camera ndio nitakaoma kabisa lol
 
ah ah ah na bado utakoma kabisa unadhani mjini nilikuja kuhesabu gorofa?vp lkn maendeleo?hujaniambia chochote till now yaliyomo yamo?
Umeanza na hivi sasa hivi ndio umeamua kuniwekea na surveillance camera ndio nitakaoma kabisa lol
 
Back
Top Bottom