Pearl
JF-Expert Member
- Nov 25, 2009
- 3,036
- 309
eeeeeh taratibu kidole na macho
:ranger::boink:
:ranger::boink:
Umemaliza mdumangeeeeeeh taratibu kidole na macho
Hey Guys . . .
2. Wapi akina baba tufanye shopping zetu binafsi na za familia pale ambapo wenzi wetu hawahusiki.
Ndio ajira tangu kukuchokoza.. ntakula nini kama sifanyi kazi yangu mmmmhhhhHahaha umeanza kunichokoza lol
via Mobile Kumbe hauko nyumbani usije ukawa uko lodge sasa hivi ngoja nianze kuku-traceNdio ajira tangu kukuchokoza.. ntakula nini kama sifanyi kazi yangu mmmmhhhh
Hahahahahahahah lolAD nina mdigo wangu jamani yuko humu humu tuna watoto watano,mnampa wasiwasi jamani leo hata shamba kupalilia hajaenda anataka tukae ndani tu,plz msimpe la huba wangu pressure nampenda mnoooooooo,TF ni swahiba tu.
Nakufuata wewe...via Mobile Kumbe hauko nyumbani usije ukawa uko lodge sasa hivi ngoja nianze kuku-trace
It wasn't meHahahahahahahah lol
TF beba mizigo yote ya zambi ... yaani waniacha mimi na watoto nyumbani halafu waenda out na mtu mwenye watoto na mume.. mbaya kabisa alikuwa rafiki yangu mmmhhhh
Niko huku naandaa mambo ya keshoNakufuata wewe...
Bado ipo halafu jana niliona tangazo la TRA kwenye gazeti la Daily News kuhusiana na magari ambayo yame overstay kwenye Customs Bonded Warehouses yatapigwa bei muda si mrefu wenye nayo wasipoyakomboa in 30 days.
AD nina mdigo wangu jamani yuko humu humu tuna watoto watano,mnampa wasiwasi jamani leo hata shamba kupalilia hajaenda anataka tukae ndani tu,plz msimpe la huba wangu pressure nampenda mnoooooooo,TF ni swahiba tu.
karibu mdada wa kwanza . . . Unaruhusiwa kusikiliza au kuchangia lakini kuwa mpole sana. Kusutana na umbeya marufuku!
Welikamu.
ha ha ha wewe wasema kumbe kusutana ni jadi yetu eeh?
Hahaha hata baisikeli sina lolSasa Kiongozi tukutane Mapema tuanze kufanya ground work. You never know . . . . LOL
Unaweza ukapata Mkoko wa ziada . . . ila sijui TF utafanyia nini cause nahisi una gari zaidi ya moja . . . . May be kama itakuwa X5/6 BMW
Hahaha SupermanDuh! Hii kali . . . duka kama hili Bongo liko wapi?
Hiyo kifaa Mich ameshika inaweza kumgeuza mtu kizazi . . . LOL
Mkuu tusaidiane basi naona wanataka kunimaliza hawaMambo hadharani . . . AD; Pearl na TF . . . semeni ukweli . . . jivueni magamba . . . LOL