JF Men Talks . . . This and That . . . .

Namba tatu imeniacha hoi

DA niaje?

Why?

Kuna watu bado wanafikiri siku hizi kuwa na gari ni utajiri kumbe wala siyo.

Kama ni mtu wa Budget unaweza kununua Vitz kwa bei chini ya $ 500 toka Japani. badala ya kuanzia $ 1500 kama wengi wanavyouza

Ukanunua Range Rover Sports Supercharger kwa bei isiyozidi $ 30,000 badala ya kuanzia $ 100,000

BMW X5/X6 kwa bei ya wastani wa $ 15-20,000 badala ya kuanzia $ 50,000

Bei zote ni FoB.

My favourates ni:

www.japanesevehicles.com - Ukitaka quality grade lakini bei juu kiasi
www.Beforward.jp - Ukitaka bei poa za kutupa lakini gari nzuri.
www.tradecareview.com - Web portal ya site nyingi. Kuwa makini tumia paytrade
www.sakura-automobiles.com - Ukitaka mabasi kwa bei poa
 
Hawa washika viwembe mbona wamejaa humu?
juzi walinikosa kosa na viwembe vyao nilipoingia kule kwao kwa bahati mbaya hawa,,
Leo wamechukua nafasi ya akina Baba hapa, Lol..............
 
hahahahaha. Nimekuja kuchungulia makusudi kama wewe ulivyotuchungulia siku ileeeee!.... Nasubiri michango yenu nicopy na kupaste nipeleke kwa mupenzi.
Mimi nataka nikupeleke physically kwenye hizo sehemu kutoa direction sijui lol
 
Namba 9 je
Sorry sijasoma

Najua hujasoma ndo maana hujaiona namba 9. Macho yako niaje?

Namba 9 inasema:

9. Tuongelee jinsi ya kuepuka vishawishi vinavyoweza kupelekea kupunguza mapenzi ya mwenzi wako na familia. i.e. kuepuka vimada.

Haaa haaa hii ngoma nzito wasije wakanipiga madongo bana . . .

Ila kuna Wadada wanajua kuweka mitego yao akikupania. Anaanza mbaaaali as if ni serious Business na nothing to do with love . . . kumbeee . . . duuh!

Sasa tunataka tubadilshane uzoefu na ni vipi tunaweza kugundua na kuepuka ili tuendelee kuwapenda wenzi wetu. of course na mengi . . .

Una maoni gani kwani?
 
Tanmo hata sisi tumeingia kwa bahati mbaya. Vp nyie hamna mapanga??
Hawa washika viwembe mbona wamejaa humu?
juzi walinikosa kosa na viwembe vyao nilipoingia kule kwao kwa bahati mbaya hawa,,
Leo wamechukua nafasi ya akina Baba hapa, Lol..............
 
Hawa jamaa bana huwa wananiacha hoi tu kwenye bei zao

TF we acha tu. Nilienda kununua Bow Tie kwa maharusi nikiwa na bajeti kama ya karakoo ya kama TZS 20,000 maximum. Khaaaa! Bow Tie nikakukuta ni TZS 90,000.

Waist coat Mariedo nilikuta TZS 45,000 kariakoo TZS 15,000. Khaaa! Jamaa wanakwenda TZS 350,000/=

Ukija selections ya Tshirts, Saa, viatu nk ndo usiseme. Suti as high as TZS 2, Million.

Uliweza kununua chochote Mkuu?
 
Hawa washika viwembe mbona wamejaa humu?
juzi walinikosa kosa na viwembe vyao nilipoingia kule kwao kwa bahati mbaya hawa,,
Leo wamechukua nafasi ya akina Baba hapa, Lol..............

Umeona Eeeh . . . . LOL
 
Ushauri wangu ni kwa wanaume wenzangu kuzingatia suala la kushirikisha mwili kwenye mazoezi ya mara kwa mara pamoja na kuzingatia mambo ya lishe Bora ili kuepuka kuota vitambi, Ulabu pia tuupige kwa staha mazee (kwa wale mnaotumia) pamoja na kitimoto, ili tuweze kuzitimizia mahitaji muhimu familia zetu (kwa wenye familia). Kingine kwa majanki wenzangu, tujifunze kuwa really manake utakuta mtu hana kitu lakini kujionesha kuwa ni kidume bora basi yuko radhi kukopa hela ili ampeleke manzi yake sehemu za matawi ya juu, mwisho wa siku uzee unatusubiri wakuu, kuna majukumu ya kifamilia inabidi tuanze kujiandaa ingali bado mapema.

Oooops, nadhani nimetoa maelezo nje ya mwongozo uliotoa mkuu Superman, niwie radhi kwa hilo...
 
muache kuwatolea macho hasa kwenye manyonyoz,titiz,miguuz and makalioz am out msinipige bureeeeeeeeee
Najua hujasoma ndo maana hujaiona namba 9. Macho yako niaje?

Namba 9 inasema:

9. Tuongelee jinsi ya kuepuka vishawishi vinavyoweza kupelekea kupunguza mapenzi ya mwenzi wako na familia. i.e. kuepuka vimada.

Haaa haaa hii ngoma nzito wasije wakanipiga madongo bana . . .

Ila kuna Wadada wanajua kuweka mitego yao akikupania. Anaanza mbaaaali as if ni serious Business na nothing to do with love . . . kumbeee . . . duuh!

Sasa tunataka tubadilshane uzoefu na ni vipi tunaweza kugundua na kuepuka ili tuendelee kuwapenda wenzi wetu. of course na mengi . . .

Una maoni gani kwani?
 
hahahahaha. Nimekuja kuchungulia makusudi kama wewe ulivyotuchungulia siku ileeeee!.... Nasubiri michango yenu nicopy na kupaste nipeleke kwa mupenzi.

Duh! Noma . . . umeshindwa kunitunzia siri hii? haaa haaaa
 
TF we acha tu. Nilienda kununua Bow Tie kwa maharusi nikiwa na bajeti kama ya karakoo ya kama TZS 20,000 maximum. Khaaaa! Bow Tie nikakukuta ni TZS 90,000.

Waist coat Mariedo nilikuta TZS 45,000 kariakoo TZS 15,000. Khaaa! Jamaa wanakwenda TZS 350,000/=

Ukija selections ya Tshirts, Saa, viatu nk ndo usiseme. Suti as high as TZS 2, Million.

Uliweza kununua chochote Mkuu?
Mkuu hawa jamaa nafikiri huwa wanauza nguo kwa sababu ya designer nakumbuka tulienda kununua suti za harusi just because designer wa suti ni NEXT basi bei yake sitaki kusema siku hiyo niliona mbona balaa lakini kitu ukiisha kivaa mwilini unasahau hata kama ulinunua laki 5, wana selection nzuri ya viatu nilishangaa nilipopata viatu vya jamaa wanaitwa RIVER ISLAND.
 
Back
Top Bottom