JF Men Talks . . . This and That . . . .

Superman namba 6, Coral Ridge Spur Steak Ranch au maarufu kama Spur ni pazuri sana they have nice steak na vyakula vingine their prices are reasonable, its an ideal place for the family na mwenzi wako.
 
mi zat msemo wa wanawake tunaweza tukiwezeshwa I hate it hao waloweza waliwezeshwa na nani?mwanamke pambana fanya kazi kwa bidii,kuwa mwaminifu na Mshirikishe Mungu ktk mipango yako unangoja kuwezeshwa na nani?kwa malipo gani?ili iweje?
Jamani . . . mara Wanawake Tunaweza Tukiwezeshwa . . .

Mara . . For every Successful Man, there is a Woman behind etc etc

Which is which now?
 
hata nikiwa mwanajeshi kwa mume wangu nakuwa kuruta!ni mapenzi tu hayo wala si kingine
I hope wewe si Mwanajeshi maana Wanaume Mabwege bado wapo . . .

Look bana, uzuri wa Mwanamke Ni tabia. Si uzuri wa umbo wala uzuri wa sura.
 
Mkuu next time ukitaka kwenda ni PM.

Namjua mtoto wa Owner ambaye ni msimamizi. Kuna vidiscount fulani vya kishikaji viko poa.

Halafu pia kuna duka karibu na Rozana samora na lile opposite Mavuno House. Liko poa pia.
Good Stuff Superman, hayo maduka ya Rozana Samora na lile la pale opposite na Mavuno bei ziko chini tofauti na lile la Mlimani City
 
Aisee!! Namba 1 nilitaka nikwambie jana nikastuka nikakaa kimya kumbe imesaidia

Mkuu, hawa Wadada Boutique zao nzuri I think ni IPS, Mkapa Towers. Shida ni bei tu Mkuu. Budget ya maana ya kumsuprise Kimwana ianzie kama laki 2. otherwise piga Mguu Kinondoni au Kariakoo unaweza kupata nice stuff.

Kinondoni poa ila wengi wanafanya selection za Hong Kong na Mitumba haalafu wanaweka what they think ni good quality. Same to Kariakoo.

So, we better be careful.
 
Mkuu, hawa Wadada Boutique zao nzuri I think ni IPS, Mkapa Towers. Shida ni bei tu Mkuu. Budget ya maana ya kumsuprise Kimwana ianzie kama laki 2. otherwise piga Mguu Kinondoni au Kariakoo unaweza kupata nice stuff.

Kinondoni poa ila wengi wanafanya selection za Hong Kong na Mitumba haalafu wanaweka what they think ni good quality. Same to Kariakoo.

So, we better be careful.
Wananishangaza sana sijui wote huwa wanaenda huko huko kufanya nini kuleta sample zile zile Kinondoni ukiingia maduka yanayouza nguo za kike ukienda maduka mawili au matatu you will find the same outfit
 
si mniulize mm karume pale namchukulia Mr boxer,vest shirt na suruali kwa jero?mbn anatoka pamba tu?mpaka mkamuone mtoto wa owner ya nn yote hayo?

Ongea vizuri binti karume wapi?

Kimwana akikuona kinamna unaingia Karume halafu unajifanya una pamba za designer haifai.

Yapo maduka poa yenye ngu nzuri na bei nzuri bana.

Ila tupe details. Mimi hizo ngu za jero, a Big Noooooooooooooooo
 
Kuna jamaa wapo Kinondoni nawajua huwa wanaleta nguo za kiume na kidogo za kike kutoka Nairobi, unajua Nairobi wana nguo nzuri sana na viatu and at a very reasonable price
 
Tumewawezesha kwa Title ya Thread . . . Sasa Mnaweza . . . haaaa haaa. Ila msitoane macho na kuweni wapole.

mmmhhh ikija kwenye mambo kama haya
ya kuangalia na kusoma jinsi wanaume wana discuss kuhusu
wadada mmhh sisi watulivu sana tunawachora tu hahahahah lol
 
Back
Top Bottom