napenda sana nywele
Ndo mana huku ni kwa ladies only! We nani kakuruhusu kuingia?So za kwapa unazifanyaje?
Fl, Husni na wengneo, natoka kidogo. Naendea viwembe manake naona kuna watu wamevamia jukwaa. Ntarejea mda si mrefu.
So za kwapa unazifanyaje?
lane:lane::frusty::frusty::frusty::eyeroll1:
Ndo mana huku ni kwa ladies only! We nani kakuruhusu kuingia?
:tape:
mi nazisukaga dredi.
Jah woman....how tings a gwan?
off topic:
hehehe! Nimeona, unaingiaje ikulu na vitop? Ndio maana mr president utendaji unashuka aisee.
Mi nguo za kushona sipendi, mafundi wasumbufu. Halafu akiwa anakupima kama vile, sijui anafanyaje,... Mfukuze tf na Kk niwaambie.
Hivi kuna wadada humu mnavaa leggings lol
tupo, tena tunavaa na top dress.
Jamani hapa ni ladies tak only ndo maana tunashindwa kuelewana lugha na kaka zetu lane: