JF ladies talk talk …...

Fl, Husni na wengneo, natoka kidogo. Naendea viwembe manake naona kuna watu wamevamia jukwaa. Ntarejea mda si mrefu.
 
hehehe! Nimeona, unaingiaje ikulu na vitop? Ndio maana mr president utendaji unashuka aisee.
Mi nguo za kushona sipendi, mafundi wasumbufu. Halafu akiwa anakupima kama vile, sijui anafanyaje,... Mfukuze tf na Kk niwaambie.

Jamani chondechonde nawaombeni Tf aingie anishikie taa wakati nashuti video pls Husninyo najua wee ndo baunsa mlangoni!!:shocked:
 
Jamani hapa ni ladies tak only ndo maana tunashindwa kuelewana lugha na kaka zetu :plane:
 
Back
Top Bottom