JF ladies talk talk …...

Poleni nilikuwa napita, nikasikia vigelegele!!!!, Naona mambbo swafiii!!!!, Kwaherini!!
 
nashukuru kwa kutambua cheo changu.
Kama Tf atashika kibatari sawa. Humu ndani tuna aleji na taa zinazo2mia umeme wa tanesco.

Basi hata kandili!!Lakini video ipigwe!!Mkitoka hapo nawaomba mpitie trinity kontena kwakisamo nimewawekea kilo 5 foil....lol!Fl nakusubiri,Husninyo,sweetlady au?niongeze najua mauno ya kitchen patty!!
 
dahhh FL1 leo umenikamatisha mmhh
nway nikiwa nyumbani mara nyingi niko kwenye short shorts na vest ....
in general napenda skinny jins na tops...
kama naenda out i prefer minskert, low cut tops lakini napenda zaidi mini dress...
nikienda kumsalimia bibi kanga mbili hahaha lol
vipodozi sipaki ( ila kama naenda out make up ntaweka )
personal mi niko rough sana kwa kazi nifanyayo mara nyingi niko kwenye jins
au shorts.. (depends with the weather) Nywele mmhhh nasuka au nabana Afro langu
huwa na relax every now and then but i cant be bother most of time..
nina style ya ki tomboy ... ( im into sports ndo maana napenda shorts zangu na track pants.. lol)
( nina addiction mbaya sana ya perfume na viatu )
AD utakayemwona Clubin sio sawa na AD utakaye mwona uwanjani,kazini au nyumbani ...

the END...
 
dahhh FL1 leo umenikamatisha mmhh
nway nikiwa nyumbani mara nyingi niko kwenye short shorts na vest ....
in general napenda skinny jins na tops...
kama naenda out i prefer minskert, low cut tops lakini napenda zaidi mini dress...
nikienda kumsalimia bibi kanga mbili hahaha lol
vipodozi sipaki ( ila kama naenda out make up ntaweka )
personal mi niko rough sana kwa kazi nifanyayo mara nyingi niko kwenye jins
au shorts.. (depends with the weather) Nywele mmhhh nasuka au nabana Afro langu
huwa na relax every now and then but i cant be bother most of time..
nina style ya ki tomboy ... ( im into sports ndo maana napenda shorts zangu lol)
( nina addiction mbaya sana ya perfume na viatu )
AD utakayemwona Clubin sio sawa na AD utakaye mwona uwanjani,kazini au nyumbani ...

the END...
:welcome::welcome:
 
Firstlady, umenisahau ila si mbya. Sasa basi kwa wale wapenzi wa kushona vitenge, mimi ni fundi na designer. Karibu sana atakayehitaji basi aniPM ili nimpe namba yangu ya simu na wapi naishi.

Ki mapenz, napenda kuvaa vitu vya kienyeji, batics, vitenge, suits, jeans, shanga aina za zote, miguu kiuno, viatu nk. karibuni sana.

Wasalaam
 
Mi sijaona jina langu kwa list but nitajibu tu: I am 172 cm tall na 65kg. rangi yangu natural (hakuna mtu atakubali anaweka mkorogo, lol) napenda jeans na t-shirts za white (zile wanaume wanavaa ndani ya shirts sometimes) Viatu ni boots like TIMBERLANDS ao ROCKLANDS. Nimekaa kama mwanaume mwanaume. Nina dreadlocks, nikitembea nina laptop bag ya mgongoni. Mara kwa mara navaa skirts na high hills but watu wote wanashangaa (hata mimi sipo confortable). Nikiwa home ni boxer na t-shirt, kama kuna baridi naweka sox. I am as sexy as the pope, hahaha. hata mimi napenda perfume za kiume na saa za kifahari (Bentley, rolex, swatch, timex, tissot etc) na the only girlish thing I like is fancy underwears (laSenza na V secrets...)
 
Firstlady, umenisahau ila si mbya. Sasa basi kwa wale wapenzi wa kushona vitenge, mimi ni fundi na designer. Karibu sana atakayehitaji basi aniPM ili nimpe namba yangu ya simu na wapi naishi.

Ki mapenz, napenda kuvaa vitu vya kienyeji, batics, vitenge, suits, jeans, shanga aina za zote, miguu kiuno, viatu nk. karibuni sana.

Wasalaam

Nitakicheki PM mpendwa jina lako nimeongeza ,
kumbe wewe ni mtaalam hongera sana
 
Sipendi mkorogo, wakati mwingine nashonea weaving ila muda mwingi nipo na nywele fupi kiasi. Sina makuu naridhika na mavazi yangu ikitegemea navaa wapi. sijipambi kwa makeups, najiona mrembo nikiwa natural. nitarudi badae dear
 
Mavazi ofisini napenda kupiga vigauni vyangu very simple,
nikiwa home vigauni pia au tops na shorts au tights.
nikitoka kitaa jeans tight,tops,vigauni (duh! napenda gauni kumbe!)
Sijawahi kupenda skirt nahisi hazinikai vizuri kwente hiki ki figure!
Kidigo suti kanisani au mara chache ofisini.
Nywele napenda sana rasta,juzi kati nikazikata nisokote dreads.
Siwezi kuvaa wig mwenzeni naona yananikera!
Natumia light cosmetics, rangi yangu naipenda....
Make ups ni wanja na lipshine nimemaliza labda kama naenda kwenye vipati fulani ndio nahangaika na make up maana sina utaalam nazo.
Sijawahi kusahau handbag yangu i Like it.
Sipend perfume kali....
Nlisahau kiatu, vyote navaa inategemea nakua wapi na mood yangu nataka nini.
 
Kwani we nawe nani?
Mbona wasema hawa badala ya sisis?
Au nawe siyo Hawa?
Naogopa viwembe.labda ninong'one nikitarajia Da prety hasikii,'' mi ni katika wale wasiotakiwa hapa. Nimekuja kimakosa niliona ka kiiza,na midume mingine kama mimi wakichungulia na kufurahia nikadhani wanaangalia mechi kati ya manchester na arsenal nilipotizama(tena kwa jicho moja tu),DUUUUUUH !!!!!!! TOBA nikagundua nimeingia choo cha kike. ndio nikakuta jamaa anapewa vidonge vyake. PLEASE AKINA DADA MNISAMEHE KWA KUPITIA HAPA.SITARUDIA TENA. FL1 please mkamate huyo da prety asije nijeruhi wakati najiandaa kutimua mbio.''
 
Back
Top Bottom