JF ladies talk talk …...

:doh:Tatizo sina access katika hili jukwaa!!Nilitaka kuwambia mbona mnakuwa wabinafsi??ungeuliza ingeneral nasisi tuwambie tunapenda wapenzi wetu wavae namna gani wanapenda nini??ehee?au niianzishie thread??Tatizo sina access katika hili jukwaa!!:doh::A S 39:

toka nduki kabla sijamwambia sweetlady akusuke yeboyebo.
 
KK tuko kwenye k'party, huruhusiwi, mwambie mupenzi aje mwenyewe, wewe subiri send off tutakualika. Sawa?
:doh:Tatizo sina access katika hili jukwaa!!Nilitaka kuwambia mbona mnakuwa wabinafsi??ungeuliza ingeneral nasisi tuwambie tunapenda wapenzi wetu wavae namna gani wanapenda nini??ehee?au niianzishie thread??Tatizo sina access katika hili jukwaa!!:doh::A S 39:
 
free size mpenzi. Likilegea nalibana na pini. Lol!
Tehe tehe tehe! Yan kama nakuona ulivyoibana! Hahahaha! Umeifanya ijumaa kwangu ikawa fureshi mpendwa! Una kakipaji, kwa nini usiwasiliane na masanja kama anaweza kukuajiri O'K? Hafu mbona huyu Fl katoweka ghfla? Au alitaka tu ajue twavaa vyup aina gan then atoweke? Manake simuoni hapa ukumbini.
 
Hafu mbona huyu Fl katoweka ghfla? Au alitaka tu ajue twavaa vyup aina gan then atoweke? Manake simuoni hapa ukumbini.

aisee huyu FL ametufanya sisi tumemwaga cv zetu za pamba nyepesi na mapowwda halafu yeye kayeyuka hajataka hata kusema kama yeye anapendelea magauni ya vitenge.
 
bahati yako umepita juu angani,ungekoma leo!
<p>
<img src="/images/styles/JamiiForums/smilies/plane.gif" border="0" alt="" title="Plane" smilieid="243" class="inlineimg" /><img src="/images/styles/JamiiForums/smilies/plane.gif" border="0" alt="" title="Plane" smilieid="243" class="inlineimg" /><img src="/images/styles/JamiiForums/smilies/plane.gif" border="0" alt="" title="Plane" smilieid="243" class="inlineimg" />
</p>
<p>&nbsp;</p>
 
na itakuwa ndo mapigo yake. Magauni ya vitenge yanaishia kati kati ya miguu, huelewi kavaa kimin au gaun fupi. Huku twayaita heshima debe. Atamletaje mwali ukumbini then atoroke?? Sa nani atamfunda mwali wakati kungwi Fl kasepa??
aisee huyu FL ametufanya sisi tumemwaga cv zetu za pamba nyepesi na mapowwda halafu yeye kayeyuka hajataka hata kusema kama yeye anapendelea magauni ya vitenge.
 
:doh:Tatizo sina access katika hili jukwaa!!Nilitaka kuwambia mbona mnakuwa wabinafsi??ungeuliza ingeneral nasisi tuwambie tunapenda wapenzi wetu wavae namna gani wanapenda nini??ehee?au niianzishie thread??Tatizo sina access katika hili jukwaa!!:doh::A S 39:

Daah kumbe sorry hapa iko namna hii ladies talk talk ,labda tulete sread kama hiyo usemayo
 
na itakuwa ndo mapigo yake. Magauni ya vitenge yanaishia kati kati ya miguu, huelewi kavaa kimin au gaun fupi. Huku twayaita heshima debe. Atamletaje mwali ukumbini then atoroke?? Sa nani atamfunda mwali wakati kungwi Fl kasepa??

kuna watu wanagonga hyo pamba nzito na raba.
Halafu unajua hii sredi hawa watu wenye ndevu washavamia.
Tunahitaji ulinzi.
Huna bastola karibu?
Mi hapa nina kiwembe tu.
 
hahahahahaha! Uwiiii mbavu zangu!!! Namwona KK, eti amekuja kupga picha. TF nae kaalikwa na nani?? Nivunjie hicho kiwembe bastola nmeiacha home!..
kuna watu wanagonga hyo pamba nzito na raba.
Halafu unajua hii sredi hawa watu wenye ndevu washavamia.
Tunahitaji ulinzi.
Huna bastola karibu?
Mi hapa nina kiwembe tu.
 
aisee huyu FL ametufanya sisi tumemwaga cv zetu za pamba nyepesi na mapowwda halafu yeye kayeyuka hajataka hata kusema kama yeye anapendelea magauni ya vitenge.

ha ha ha husninyo nimeweka bana
 
na itakuwa ndo mapigo yake. Magauni ya vitenge yanaishia kati kati ya miguu, huelewi kavaa kimin au gaun fupi. Huku twayaita heshima debe. Atamletaje mwali ukumbini then atoroke?? Sa nani atamfunda mwali wakati kungwi Fl kasepa??

heheheheh sweetlad utadhani wewe shekhe Yahya
 
husninyo nimeweka bana

hehehe! Nimeona, unaingiaje ikulu na vitop? Ndio maana mr president utendaji unashuka aisee.
Mi nguo za kushona sipendi, mafundi wasumbufu. Halafu akiwa anakupima kama vile, sijui anafanyaje,... Mfukuze tf na Kk niwaambie.
 
heheheheh sweetlad utadhani wewe shekhe Yahya
Shekhe babu yangu, afu mi ndo mrithi wake mtarajiwa yan hapo ndo naijarbu mikoba kidogo alyonikabdh, nmepatia ee? Utakoma siku nkipewa mkoba mkubwa! Haya kungwi where have you been?? Umetuacha peke yetu na Husni mpaka wababa wamekuja kutuchungulia.
 
Back
Top Bottom