only83
JF-Expert Member
- Oct 15, 2010
- 5,343
- 2,525
- JF inamilikiwa na watu wangapi hasa wale ma-founder.
- Na je apati usumbufu wowote toka kwa usalama wa taifa au wa CCM kuhusiana na kuendesha forum hii inayoweka mambo yao wazi
- Je, wewe ni mwanachama wa chama chochote cha siasa? Na kama ndio ni kipi?
- Unafanya kazi gani kwasasa
- Mimi Mwanakijiji mna urafiki wa kiwango gani?