JF Focus: Side Comments: Exclusive Interview with JamiiForums founder - Maxence Melo

Status
Not open for further replies.
  1. JF inamilikiwa na watu wangapi hasa wale ma-founder.
  2. Na je apati usumbufu wowote toka kwa usalama wa taifa au wa CCM kuhusiana na kuendesha forum hii inayoweka mambo yao wazi
  3. Je, wewe ni mwanachama wa chama chochote cha siasa? Na kama ndio ni kipi?
  4. Unafanya kazi gani kwasasa
  5. Mimi Mwanakijiji mna urafiki wa kiwango gani?
 
SWALI- Kupitia jukwaa la Congrats, tulipendekeza uanzishwaji wa jukwaa la HISTORIA. Pia tulimshirikisha mheshimiwa Invisible na tuliahidiwa litakuja lakini naona linacheleweshwa je? Ni nini kinakwamisha upatikanaji wa jukwaa hilii muhimu?
Ahsante
 
Last edited by a moderator:
SWALI. Kumekua na madai ya wadau wengi wakilili utengenezwaji wa JF T-Shirt na wakipendekeza kwamba ni chanzo kizuri cha kujiongezea kipato Je uongozi wa JF kwanini hauchukui maamuzi ya kuanzisha mradi huu hata kama zitakua zikitoka mara 2 kwa mwaka, kama mpango upo tutegemee kuanza kuzipata lini?
 
AshaDii maswali unayapata wapi mbona ya hapa mengi hujayapeleka kule? Afu uliyouliza sasa hivi hapa siyaoni? Au unapokea mashwali through PM?
 
Last edited by a moderator:
Status
Not open for further replies.
9 Reactions
Reply
Back
Top Bottom