SWALI- Kupitia jukwaa la Congrats, tulipendekeza uanzishwaji wa jukwaa la HISTORIA. Pia tulimshirikisha mheshimiwa Invisible na tuliahidiwa litakuja lakini naona linacheleweshwa je? Ni nini kinakwamisha upatikanaji wa jukwaa hilii muhimu?
Ahsante
da mkuu maxence sikujua kama na wewe ni product ya dit. Mkuu unalijua "juche" wewe?. Block four ulikaa mitaa ipi, manzese au oysterbay. Vipi ulikuwa unatembelea mara kwa mara mitaa ya block two?. He he he!.
Uliza tu mkuuNa sie vidampa tunaruhusiwa kuuliza maswali au ni Ashadii tu ndiyo mwenye exclusive rights?
Dah! AshaDii samahani usione kama nalaumu sana niliwasilisha maswali yangu mawili then baada ya muda nikahoji why sijapata majibu? Ukaniambia nisiwe na haraka yanashugulikiwa basi nikapata moyo lakini kipindikile kulikua na comments za interview 6 tu lakini leo tumefika 42 vipi bado mnayashugulikia tu? Au bwana Maxence Melo aliyajibu lakini kwa kua natumia simu majibu sikuweza kuyaona? Au hayajibiki? Au hayana uzito? Ahsante pia nawapongeza interview iko poa sana.
also me asked that you of the questions. not today the interview? because i am very waiting to melo the jf founder
Nyani Ngabu warm and heartfelt greetings to you...
hii ni kiingereza toka moyoni kabisa...kwa nini unaiita breken?mhh! is this broken or american eng?
Alikuwa Makongoro tumemaliza 1999 form four na alikuwa anasoma Electrical.Bwiru ulikuwa upo bweni gani?
Melo thanx sana kwa ugunduzi wako. JF Home of Great thinkers