Jf Couples (New Version)

Aseeeee
Duh!!!!

Hakuna kabinti kanakonifaa humu!!
Kawe kanasoma na kawe hakajapata mkopo wa board ya mikopo, nataka nikalipie 75% or so!!!

Hima, offer inaisha saa tano kamili! Kafanye kitu cha pm!
 
We tulia bana (we unajulikana kabisa status yako) haihitaji kutangaza maana kuna wambea wengi kama sisimizi. Tulia nitakutaja kwenye special thread kabisa

Hapa sijaridhika weka kwenye mabano ndo nitatulia (sikuelewi ujue)
 
Aseeeee
Duh!!!!

Hakuna kabinti kanakonifaa humu!!
Kawe kanasoma na kawe hakajapata mkopo wa board ya mikopo, nataka nikalipie 75% or so!!!

Hima, offer inaisha saa tano kamili! Kafanye kitu cha pm!

Masharti magumu wala hupati mtu hapa
 
Aseeeee
Duh!!!!

Hakuna kabinti kanakonifaa humu!!
Kawe kanasoma na kawe hakajapata mkopo wa board ya mikopo, nataka nikalipie 75% or so!!!

Hima, offer inaisha saa tano kamili! Kafanye kitu cha pm!
STUKA!!......Akija yule mzee anaondoka nao wote
 
Hapa sijaridhika weka kwenye mabano ndo nitatulia (sikuelewi ujue)

( Wewe ni wangu mahabuba. Nakupenda kiasi kwamba hata uji haupiti nikikukosa. Silali usiku kwa ajili yako. Nakuota kila siku. Nakupenda mahabuba wangu )
Ukisoma futa fasta au funika na wino mweusi wambea wasione
 
Back
Top Bottom