Jf Couples (New Version)

Mr Rocky na Mama Tuli mbona mnaisahau sana hii couple au kwa kuwa haivumi

TF na na na na na na ........SL ( kwenye deal la kukwapua sadaka kutoka kwa waumini)
Dah!!!! CD imekwama ina scratch...sasa mkuu una kesi hukumu leo leo
 
1. Husninyo + Judgement (baada ya Uporoto kupigwa chini)....
2. Cantalisia + Rejao (hii ni baada ya kumkwapulia Smile).....
3. Taijike + Excellent (wapya hawa).....
4. Erickb52 + Amyner (kama #3)......
5. Mwali + Ivuga (japo Ivuga kamkimbia Mwali).....
6. RussianRoulette + Paw (mmmh)....
7. Preta + Mtu Chake (japo TANMO anataka kuvuruga)......
8.
9.
Nani nimemuacha......

kupendwa raha sana....
 
Dah!!!! CD imekwama ina scratch...sasa mkuu una kesi hukumu leo leo


Kanda imekataa mkanda wake umeliwa na redio ya mkulima
Ahhh wewe hata sitaki kusikia maana kesi yako imekwama mahakama kuu judge ameenda vakesheni
 
Hivi ile trip ya zanzibar figanigga alikuwa anasafiri nani? Maana hiyo nayo ni kapo.
 
Back
Top Bottom