Jf Couples (New Version)

HANIPENDI YULE ONA ALIVONIFANYA
373975_10150764531846983_741191982_11326533_1853998369_n.jpg
Duh!! Baadae tutaonana..
 
Mie nasoma phd, ndo mwaka wa pili sasa ni ni ya miaka 4 tu. Nikikuonaga humu moyo unanienda mbio kma pangaboi. Niruhusu nikutongoze kwa ajili ya hiyo sponsor, hata ukilipia 100% sitojali maana nikutandaza muno.
Aseeeee
Duh!!!!

Hakuna kabinti kanakonifaa humu!!
Kawe kanasoma na kawe hakajapata mkopo wa board ya mikopo, nataka nikalipie 75% or so!!!

Hima, offer inaisha saa tano kamili! Kafanye kitu cha pm!
 
Mchungaji unayekula kondoo nipishe huko.

Hunijui, sikujui achana na mimi na ukafie mbele. Founders (LIzzy&The Finest,2011), Revision & Promotion(Konnie, 2012)

Hahaahaha. . .
Kumbe ehhhhh?
Na kweli 'hunijui, sikujui' ya nini kugandana?

Ntamlindia!!!
 
Mie nasoma phd, ndo mwaka wa pili sasa ni ni ya miaka 4 tu. Nikikuonaga humu moyo unanienda mbio kma pangaboi. Niruhusu nikutongoze kwa ajili ya hiyo sponsor, hata ukilipia 100% sitojali maana nikutandaza muno.
Kwanza...........kamata hii.........
69376_135477889836021_100001214312304_195528_7276366_n.jpg

halafu.........una accounnt benki kuu?? I am banking with them, kama huna, kafungue, itakuwa rahisi mimi kukufanyia transfer!!!

U know wara i mean!!
 
Back
Top Bottom