Jf Couples (New Version)

Oooh! Poor you! Swala la kwenda Tanga ni langu na wife wangu! Angalia usije kupotea mapangoni wakati tutakapoamua otherwise?

Tayari mi na marejesho tumeshaamua kuwa pa1 siku hzo 3. Hakikisha sumu, chupa kamba n.k zinakuwa mbali nawe.
 
Last edited by a moderator:
Ngoja nikupe list yangu

Kuna makubwa ya maadui mawili

Afu kuna Asprin, Bishanga, Mtoboasiri, hawa hata bahati ihamie tandahimba nitakwenda nao

Heh kumbe huwa nachelewa kureply ndo mana unazd kuwaganda hao kina Asprin et al. Usiogope kongosho we ni wangu xaxahv onward. Achana na hao wazamani bhana. Hv washawahi kupa maini hata cku moja, kwangu yako kibao unachagua, ukitaka ya mbuzi mzee yapo afu km kichwa kinagonga unameza asprin 2naendelea kula bata. Hebu chagua sehem ya mtoko wkend hii twende wp mamii?
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom