JF App

Sharobaro anaweza kuwa hata Moderator wa hili jukwaa maana ukiangalia mopja ya majukwaa yanayopwaya na hili ni mojawapo mpe kazi kijana, nasikia hiyo Mobile App ipo tayari lakini mnataka kuanza kuifanyia majaribio ni kweli???

We will work on this on a serious note, tulishafikiria kulifanyia kazi lkn kwa wakati huo watumiaji wa smartphones walikuwa wachache sana.Tunashukuru kwa kulikumbushia
 
Daah yaani mi nilikuwa nina wazo kama hilo maana JF ukiifungulia kwenye iphone kupitia opera mini inazingua ile mbaya saa nyingine hauwezi kuchangia kitu kwa sababu ukitouch sehemu ya kuchangia keyboard inakuwa hairesponse.
 
Apps ni tofauti na mobile, kwa mfano moja kati ya advantage ya app ni kwamba unaweza kuingia mara moja online ika-download "latest updates" halafu unazisoma ukiwa offline, hii inasaidia hata kupunguza sana matumizi ya internet kuliko mobile site,hata upande wa mpangilio wa makala apps zina ubora zaidi. Advantage ni nyingi na mimi naliunga mkono hili, ila tu mkuu juu huko ametaja Symbian, hili hapana kwani symbian is dying platform. Tusiwasahau pia wa platform ya QNX (Blackberry) iwapo wataalam watakubalina na hili. Forums, blogs na hata website zote kubwa zinatumia apps.
Symbian users tupo!
 
Symbian is not a dying platform.... Its the second most used platform in the world so engagdets says so... With the new symbian ^3 and symbian Anna it should stick ontop for a while longer and besides Nokia is planing on shutting down in that case Symbian will still be used *# Carbide# NB: I think Symbian OS has more app than any other OS Yeah the JF App will be a great idea!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom