JF App

Viper

JF-Expert Member
Dec 21, 2007
3,667
1,400
Salaam zenu wana JF ...

Nina wazo .. since kuna facebook APPS, Twiter Apps .. etcl
wataalam hili jukwaa naona mnafanya kazi nzuri sana kwa kutoa majibu kwa wale wote wnye matatizo bila kejeli...
kuchakachua mambo etcl...
Je hili jukwaa halina Apps Developers ...?
Kama yupo/wapo nakupa challenge mkuu/ wazo tutengenezee JF App .. Ongea na uongozi / fata taratibu zote
JF for Adroid/ JF for Window Mobile/ Jf for I phone / Jf for Symbian

Nawasilisha
 
Kwani JF mobile haitoshi?!Inafanya kazi kwenye simu zote kwa kiwango stahiki kwahiyo binafsi sioni kwanini uone kuna haja ya kutengeneza nyingine!
 
Kwani JF mobile haitoshi?!Inafanya kazi kwenye simu zote kwa kiwango stahiki kwahiyo binafsi sioni kwanini uone kuna haja ya kutengeneza nyingine!
Bibie watu wangekuwa na mtazamo kama huu wako katu wasinge endelea
Mkuu big up, wazo zuri na wataalum wetu walichukulie kama changamoto
 
jf mobile ni tofauti na jf app ndo maana mkuu hapo juu akawa anatoa pendekezo hilo...
 
Apps ni tofauti na mobile, kwa mfano moja kati ya advantage ya app ni kwamba unaweza kuingia mara moja online ika-download "latest updates" halafu unazisoma ukiwa offline, hii inasaidia hata kupunguza sana matumizi ya internet kuliko mobile site,hata upande wa mpangilio wa makala apps zina ubora zaidi.

Advantage ni nyingi na mimi naliunga mkono hili, ila tu mkuu juu huko ametaja Symbian, hili hapana kwani symbian is dying platform. Tusiwasahau pia wa platform ya QNX (Blackberry) iwapo wataalam watakubalina na hili. Forums, blogs na hata website zote kubwa zinatumia apps.
 
Apps ni tofauti na mobile, kwa mfano moja kati ya advantage ya app ni kwamba unaweza kuingia mara moja online ika-download "latest updates" halafu unazisoma ukiwa offline, hii inasaidia hata kupunguza sana matumizi ya internet kuliko mobile site,hata upande wa mpangilio wa makala apps zina ubora zaidi. Advantage ni nyingi na mimi naliunga mkono hili, ila tu mkuu juu huko ametaja Symbian, hili hapana kwani symbian is dying platform. Tusiwasahau pia wa platform ya QNX (Blackberry) iwapo wataalam watakubalina na hili. Forums, blogs na hata website zote kubwa zinatumia apps.

Ahsante kwa ufafanuzi

Pia nampongeza mtoa mada kwa wazo zuri. Wataalamu walifanyie kazi naomba
 
Safi sana mimi nina app kama 35 hivi kwenye cm yangu, lakini natumia browser za kawaida kufungua Jf, mkitungenezea app ya jf itakuwa safi sana. Haya ma it wetu go ahead.
 
pia kwa kuongozea apps zina feature moja muhimu nayo ni notification, yaani kwa mfano umechangia maada na kuna mwengine amechagia basi huna haja ya kuingia na kutoka kuchungulia kama kuna kinachoendelea kwenye maada iliyokuvutia kwenye app mtu akichangia tu wewe unajulishwa kama kuna jipya...
 
We will work on this on a serious note, tulishafikiria kulifanyia kazi lkn kwa wakati huo watumiaji wa smartphones walikuwa wachache sana.Tunashukuru kwa kulikumbushia
 
MH!!! ok Mi naweza Tengeneza ila itakuwa Java application so simu aina yoyote itakubali ni easy application. ambayo user atadownload na kuistall kwenye simu yake, so akitaka kuingia jamii forums anatumia single click kwenye hiyo icon na anaingia moja kwa moja kwenye forum. itakuwa inatumika pia kama shorycut na kama bookmark ya jamii nitatumia logo ya JF au nitaandika jamii.. naitaji mawazo yenu hapo vipi!! na moderator wana ruhusu hili?!! any idea r welcome cheers!!
 
JF ilikuwa inasupport Tapatalk muda si mrefu uliopita sijui kwanini wakaitoa.
 
Apps ni applications. So u can hv web applications. So mobile web apps work just fine, and u do not need to install and u can login anywhere! Web apps can also give notifications, web apps can also detect wat 4n u r using. With web apps like PHP apps, u only create once to work with all platforms. So i suggest, u go with that.
 
We will work on this on a serious note, tulishafikiria kulifanyia kazi lkn kwa wakati huo watumiaji wa smartphones walikuwa wachache sana.Tunashukuru kwa kulikumbushia

pamoja mkubwa.... tunasubiri ...
 
@sharobaro itabidi ifanye hyo app isiweze kuwa rahisi mtu ku-hack kitu chochote maana we noma huwa unafikiria mbali zaidi..pamoja mkuu
 
jaman mi na2mia tapatalk nafungua jf kwa raha zote watakaofahd ni wanotumia android na ios....
 
jaman mi na2mia tapatalk nafungua jf kwa raha zote watakaofahd ni wanotumia android na ios....
Tapatalk pia inapatikana kwenye Blackberry zote kasoro Playbook, lakini bei ni mara mbili ya ile ya iOS na Android.
 
Tapatalk pia inapatikana kwenye Blackberry zote kasoro Playbook, lakini bei ni mara mbili ya ile ya iOS na Android.

Hivi Tapatalk si ni dola moja tu na nusu au? Na si unalipia only once?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom