Jeshi la Polisi lipongezwe kwa kazi nzuri kwa Dk. Ulimboka ~ Nicholaus Mgaya

shame on you Mgaya? Damu ya Dr.Ulimboka itakutesa sana mnafk wewe, unasifu kwa jeshi la polisi kukamata chizi? kwa waledi upo unawasifu? acha unafiki mzee....
 
Kwenye red: Nini kilimuua huyo bwana?

As for Mgaya, once a traitor always a traitor. I hope anapata usingizi usiku.
Mgaya is a traitor and too cheap... Kununuliwa na jk ni sawa na kufanya biashara pale kwa macheni..
 
shame on you Mgaya? Damu ya Dr.Ulimboka itakutesa sana mnafk wewe, unasifu kwa jeshi la polisi kukamata chizi? kwa waledi upo unawasifu? acha unafiki mzee....

wewe ndiye mnafiki huangalii ndugu zetu walio kufa wakati wa mgomo ulioitishwa na huyo dr wenu muuwaji anayejali pesa kuliko uhai wa watu wengine nijuavyo mm hata kuwe na vita madaktari watafanya kazi muda wote hata bila mshahara...waone aibu...
 
Mgaya na Mkoba wote ni makada wa ccm,hawafai walimu tunamaisha magumu sbbu yao.
 
Mgaya acha propaganda wewe,unajihaibisha, Jembe lilikua Late Rwegasila huyu 100% wamem_kill.
 
Kwenye red: Nini kilimuua huyo bwana?

As for Mgaya, once a traitor always a traitor. I hope anapata usingizi usiku.

Rwegasila alikua jembe sana,nadhani wamemua huyu mtu,mkewe atakua ameshirikiana na uwt kum-kill.
 
wewe ndiye mnafiki huangalii ndugu zetu walio kufa wakati wa mgomo ulioitishwa na huyo dr wenu muuwaji anayejali pesa kuliko uhai wa watu wengine nijuavyo mm hata kuwe na vita madaktari watafanya kazi muda wote hata bila mshahara...waone aibu...
We MRS Mgaya... aibu inazidi kukufuata? naona hujui hata maana ya neno "mnafiki" sasa kanisa nimekanusha mumeo alisifia... vipi mnajisikiaje?
 
TUCTA nao wamo
Katika hatua nyingine, Shirikisho la Vyama Vya Wafanyakazi (Tucta) limelipongeza Jeshi la Polisi kwa kumkamata mtu anayedaiwa kumteka na kumpiga kiongozi wa mgomo wa madaktari, Dk Steven Ulimboka.Akizungumza jijini Dar es Salaam jana, Katibu Mkuu wa Tucta, Nicolaus Mgaya alisema kuwa, hatua ya kumkamata mtuhumiwa huyo inaleta matumaini ya kuwabaini watu wengine waliohusika na vitendo hivyo, jambo ambalo linaweza kurahisisha uchunguzi.
Alisema kutokana na hali hiyo, jeshi hilo linatakiwa kuendelea na uchunguzi ili waweze kuwabaini wahusika wengine na kubaini ukweli kuhusu tukio hilo ambalo limesababisha kutokea kwa hisia tofauti katika jamii.
"Tunaliomba Jeshi la Polisi liendelee na uchunguzi ili waweze kuwabaini watuhumiwa wengine na kuwachukulia hatua za kisheria," alisema Mgaya.

SOURCE: MWANANCHI

Kama shirikisho la wafanyakazi lina kiongozi ambaye anabeba taarifa bila kufanyia analysis ipo kazi. Kwa akili yako kuna taarifa hapo? Bora kukaa kimya
 
Mgaya asifikiri kwa kuwa ni kiongozi wa wafanyakazi basi ataaminika kwa kauli hiyo ya kipuuzi, hiyo ni kauli yake haihusiani na kauli ya chama, tangu apigwe mkwara na JK pale alipoitisha mgomo wa wafanyakazi amekuwa mpole na mjinga kiasi kikubwa na hapo alipo ana kadi ya CCM kwa lengo la kugombea Ubunge naomba hilo jimbo analotaka kugombea wamuogope kama Ukoma kwani ni mnafiki hasiye faa kuwa kiongozi na naomba watumishi wa TUCTA wajiunge kwa pamoja ili kumuondoa mtu huyu.

CCM wamempa ''haki'' ya kugombea Jimbo la kwao MUHEZA badala ya Herbert M'Ntangi ambaye ameamrishwa kustaafu ili asiisakame tena serikali......unfortunately akakubali kuwa traitor

Nicholaus-Mgaya.jpg
 
huyu bwana anashindwa kufikiri anaowaeleza wanauwezo wa kiakili,upembuzi,shule kuliko uwezo wake mdogo alionao yeye! Tunatambua anatumika na polisi pamoja na serikari kuweza kupotosha ukweli wa mambo juu ya dr uli,nadhubutu kusema MGAYA ANAFIKIRI KWA KUTUMIA MASABURI.
 
Mgaya unatia aibu jeshi la polisi lipongezwe kwa mtu aliejipeleka mwenyewe! kwa taarifa yako hakuna anaekuamini wewe ni mnafiki, mchumia tumboni endelea na kujipendekeza lakini swala la Ulimboka achana nalo.
 
We need to understand people and live with them there is no other way.
they are cheating us today but tomorrow they will not be able any more
 
Huu ni upumbavu.
Mtu wa aina hii ni hatari kwani anaweza hata kumtosa hata mkewe kwa boss wake endapo ataahidiwa kupandishwa cheo. This is nosense. :yawn:
 
Mgaya asifikiri kwa kuwa ni kiongozi wa wafanyakazi basi ataaminika kwa kauli hiyo ya kipuuzi, hiyo ni kauli yake haihusiani na kauli ya chama, tangu apigwe mkwara na JK pale alipoitisha mgomo wa wafanyakazi amekuwa mpole na mjinga kiasi kikubwa na hapo alipo ana kadi ya CCM kwa lengo la kugombea Ubunge naomba hilo jimbo analotaka kugombea wamuogope kama Ukoma kwani ni mnafiki hasiye faa kuwa kiongozi na naomba watumishi wa TUCTA wajiunge kwa pamoja ili kumuondoa mtu huyu.

Alipanic alipomwona Ulimboka alivysulubiwa. Anahisi na yeye angeendelea na harakati za mgomo angepitia mapito ya ulimboka. Msamehe bure ndg. Kibogo.
 
namshangaa mgaya kujikosha naona huyu achunguzwe uwezo wake wa ku baini uongo na ukweli ,anaona maiguzo kuwa ni kweli watanzania wa leo si wakuletea maigizo kama haya ,huyo anayedaiwa kumtemka Dr Uli kama ametubu awtaje walomtuma ,ama anataka kutuambia kwamba Dr Uli ndiye mtu wa kwanza kwa yeye kutaka ku muua si uongo mtupu,wangapi amewaua kwa nini hakutubu huko kenya .mgaya huna jipya

This man ni m***s**ng-**kabisa. Kahongwa na Kova asaport huo utumbo waliouleta juzi. Upuuzzziii
 
Nanukuu "Mimi ndiye mwajiri mkuu nisikilizeni mimi , masimsikilize Mgaya (kaimu katibu mkuu TUCTA). Mtafukuzwa kazi na wala Mgaya hamtamuona (Mambwepange)". JK 2010 akizungumza na wazee wa Darisalama

Huyu jamaa anaweweseka na hii kauli ya JK hasa baada ya kuona yaliyomtokea Dr. Ulimboka
 
Back
Top Bottom