Jerry Silaa kashindwa kazi?

Uhuru Street.........of legendary status is like this

Uh+008.jpg
 
Wanajamvi,

Ukipata nafasi ya kukutana na meya wa manispaa ya Ilala Mstahiki Jerry Silaa Utamuuliza nini?!

Binafsi nitamuuliza kuhusu mgogoro wa Machinga complex na kukithiri kwa foleni na uchafu katika manispaa hiyo, kwako je? utamuuliza nini??


NB:

Am very serious kama hauna point ya msingi tafadhali usichakachue uzi huu!


View attachment 68617


nitamuuliza kwa nini kamkimbia mke wake tangu mwezi wa tano amehama nyumbani na hapeleki matumizi.
 
nitamuuliza kwa nini kamkimbia mke wake tangu mwezi wa tano amehama nyumbani na hapeleki matumizi.

Hana Jipya He is a failure leader!! Ndio tatizo la kuwapa watu vyeo wenye siasa Nyingi (Active in speaking failure in Implementing) Watu wanauza maandazi Pala Posta Mpya kunako Vumbi!! Michanga na Kila aina ya Uchafu!! Kisa Hawa ni wapigakura hawatakiwi wabugudhiwe!! Kura Ipi sasa?
 
Back
Top Bottom