Hossam
JF-Expert Member
- Feb 10, 2011
- 3,538
- 2,155
unaelewa tofauti ya diwani na mbunge, jibu hili ukifafanua hoja za kushangaza za brigedia. Meya je? Unajua majukumu yake kulingana na hoja za brigedia, jamani tuweni na kiasi ndugu zangu, lawama tu hazitajenga, zknabomoa.... Kama mnahisi mna hoja mbona ratiba ya kumuona meya iko wazi, ugumu ni upi kumtembelea ofisini kwake!? Mbona hamueleweki?!!
Mwingine anasema figa hazidaidii, sasa ni kipi kinasaidia? Ama mnataka Silaa aelezee maendeleo ya kila mpiga kura binafsi, kama ni uchafu wa jiji wote nyie mnashiriki kuluchafua, kutupatupa machupa ya maji mamifuko ya salfeti hovyo unadhani jiji litapona!? Nani asiyejua kwamba hujuma ni kubwa mno katika huduma ya maji? Hivi ni wangapi wenu mna magari ya kusambaza maji? Tuweni wakweli, mbona mnamsakama hivyo Silaa? Kagusa maslahi yenu nini!!!!!!

Jerry nimeona umekuwa ukijibu hoja zilizo nyingi lakini mbona za Bregadia hujibu?.Au amekuchana live?