Jerry Silaa kashindwa kazi?

J4MAYOKA

Senior Member
Jul 16, 2011
147
84
Hivi huyu tangu achaguliwe kuwa meya wa Ilala kashafanya yepi ya kubadilisha hili jiji?

Maana mie humwona Runway, Mafian Lounge na kule kwenye baa ya Rose Garden anauza sura tuu lakini la kusema anaweza kujivunia kama Meya wa Ilala hakuna zaidi ya kuhusishwa kwenye kashfa ya wizi wa mabilioni ya UDA na meya mwenzie bwana Masaburi.

Halafu hamuishi kuja kulalama kuwa mnataka vijana waje kuchua nchi.

Sasa kama vijana wenyewe ni sampuli za Jerry Silaa naona bora tubaki na hawa hawa wazee.

Sasa wana JF huyu naye tumwachie au?

Maana hii ni 2012
 
Mjomba kwa kuuza sura tu kafanikiwa...
sidhani kama kuna kijana DAR anyemshinda kwa hilo
suala dogo kama la foleni mjini limemshinda....kashindwa kutoa amri watu waache kuuza vyakula chini pale mtaa wa Zanaki karibu na DTV kashindwa

viji amri vidogo vidogo kama hivyo vimemshinda

anachojua yeye ni kubadili mawani tuuu na kupiga madili ya UDA na masaburi

bora wabaki hao hao wazee waliopo
 
Tatizo la taa za barabari huyu bwana kashindwa kulitatua mjini

tatizo la foleni liko pale pale

tatizo la uchafu mjini liko pale pale

sasa huyu akiingia ofisini kazi kushinda JF na Facebook

lakini ndio mlimchagua FACEBOOK mayor sasa mnaendeshwa via WALL UPDATES na BBM Groups
 
nadhani wakazi wa Ilala wanampima na 2015 wanaweza kufanya maamuzi kutokana na majibu ya vipimo vyao
 
Its getting emotional

Jerry kwa nini unajibu kwenye twitter badala ya JF?

njoo hapa utuweke sawa yepi ambayo umefanikisha na yepi ambayo bado

kulalamika kwenye twitter si solution
 
Such a wastage of resources!! Meya wa Dar, Gari Kubwa, Ila msaada kwa Watu anaowaongoza ni Sifuri! Lini Watanzania Tutaanza Kuwa na Hasira Kidogo!! Watu wanajineemesha kwa Kutumia Kodi Zetu ila Hakuna la Maana Wanatusaidia????
 
Anapenda sana kuuza nyago kwenye minuso mikubwa mikubwa
Kazi kubwa aliyo fanya nikupokea misaada ya wahanga wa mafuriko
 
guys, jerry has done far commendable job kwa msiojua, tusipime juu au kwa chuki binafsi hakutaka gari ila amepewa kwa wadhifa wake, ni kati ya viongozi wachache wanaosimama mbele za watu wakitoa solutions za matatizo badala ya kuweka blame kwa vichwa vya wengine, kutopenda kubwabwaja kwenye vyombo vya habari sio kigezo cha mtu asiyechapa kazi labda moja kubwa ninalolifaham ni kuwezesha hospital zote za wilaya ya ilal kuwa na dawa za kila aina kwa kushirikiana na wahisani, unaweza usilijue hili kwa sababu wengi wenu humu mkiumwa mnakimbilia private ila kuna walalahoi wengi wao wakiumwa ni amana au temeke au mwananyamala nje ya hapo wamekufa, ila ukienda hospital izo dawa zipo za kutosha na kwa wamama wajawazito huduma zipo hamana kelele za dawa hakuna kanunue! this guy is destiny for something big!
 
Usitake kumpamba jamaa bila sababu

Kwanza tuletee ahadi alizozitoa
Kisha tuletee list ya hayo aliyoyatekeleza tangu kaingia

Mkitaka kujua kama huyu dogo hafanyi kazi yoyote ile tazama hii picha ya pale ILO nje halafu mjiulize mambo haya ya kuziba pedestrian katoa nani vibali kama si huyu bishoo anayejiita meya wa ilala?

landplan-icon_0052_3_4Enhancer.jpg
 
Hizo kazi hafanyi pekee yake

madiwani wako wapi? - tumesikia madiwani mahala pengi wanapo kosa imani na MAYOR wanapiga kura ya kutokuwa ina imani naye aidha tungesikia sekeseke toka kwa madiwani imara, kwa kauli hii na maanisha hata madiwani nao ni legelege na wakazi nao ni legelege Lazima wange react

Mkurugenzi yuko wapi?? kama madiwani wamelala mkurugenzi angefanya hayo yote mambo yange enda barabara
 
Jerry ni meya wa Ilala, wilaya iliyotajiri kuliko zote Tanzania na tena kati kati ya mji

sasa iweje hataki kutueleza anafanya nini kulipa hili eneo hadhi yake?

anajisikiaje chakula kuuzwa pembeni ya maji ya chooni pale mjini au kwa sababu wanauziwa wahindi

na hii kamatakamata ilioanza siku ya jumatatu mbona inaishia kwa madereva teksi tuu bona hainedelei kwenye mambo mengine?

Binafsi naona Jerry ameshindwa kazi na hakuna ubaya akamulikwa zaidi unless aje humu na majibu yanayoeleweka
 
Usitake kumpamba jamaa bila sababu

Kwanza tuletee ahadi alizozitoa
Kisha tuletee list ya hayo aliyoyatekeleza tangu kaingia

Mkitaka kujua kama huyu dogo hafanyi kazi yoyote ile tazama hii picha ya pale ILO nje halafu mjiulize mambo haya ya kuziba pedestrian katoa nani vibali kama si huyu bishoo anayejiita meya wa ilala?
hii ndio ofisi yake au?
 
Bona,
usidanganye watu, Jerry anachofanya sasahivi ni kukusanya fedha ya kufanyia kampeni za ubunge come 2015.
Hakuna madawa katika hospitali za manispaa ya ilala kama unavyodai. Na si madawa tu, hata vifaa tiba navyo ni matatizo.
Kuna hospitali imefunguliwa mongolandege ukonga ina wahudumu wachache sana na haina vifaa tiba kabisa, wauguzi wanapiga ramli kama waganga wa kienyeji. Hata malaria wagonjwa wanalazimika kwenda FFU, Magereza ama Rugambwa.
Kuna fedha mil 30 ya ukarabati wa barabara kata ya ukonga imeliwa, barabara hazipitiki, meya amefahamishwa lakini hakuna hatua yoyote iliyochukuliwa dhidi ya wabadhirifu, simply ni wanaccm!
 
Back
Top Bottom