Baada ya jibu hili nitakuomba
ufunge Thread yako ama mod afunge.
Jerry Muro yuko Tumaini University anasoma mwaka wa tatu branch ya dar
ndio anamalizia mwaka huu sababu kule UDSM hakumaliza baada ya ku-disco
muda mfupi kabla hajajiunga ITV wakati ule. Akimaliza chuo tutajua
mwelekeo wake ni wapi.
Narudia, funga uzi wako sasa au hamisha kutoka hapa maana Jerry has
nothing to do with Jukwaa la Siasa! Kwaheri!
Baada ya jibu hili nitakuomba ufunge Thread yako ama mod afunge.
Jerry Muro yuko Tumaini University anasoma mwaka wa tatu branch ya dar ndio anamalizia mwaka huu sababu kule UDSM hakumaliza baada ya ku-disco muda mfupi kabla hajajiunga ITV wakati ule. Akimaliza chuo tutajua mwelekeo wake ni wapi.
Narudia, funga uzi wako sasa au hamisha kutoka hapa maana Jerry has nothing to do with Jukwaa la Siasa! Kwaheri!
Gongo nyingine bwana!!!!!!