Jenerali Ulimwengu: Hakuna sheria inayozuia mikutano ya kisiasa. Askari waanze kulipa fidia kwa hasara wanazosababisha

Kwanza lini amekua raia halali wa Jamuhuri ya Muungano?
Raia Mwema inalipa kodi ipasavyo kweli?
Michango yote ya social securities amelipa kwa wakati?
Yeye mwenyewe analipa kodi ipasavyo kutokana na kazi zake za uwakili?

Haya asije tu akaomba poo mwenyewe
Character assassination.
 
Umeona katika uchaguzi mdogo hivi juzi wanasiasa walivyotimbwirika kwenye kampeni za madiwani.

Unafikiri kwa nini timbwiri zile hazitokei kila siku?
Maneno matupu bila kutaja kifungu cha sheria/katiba ni kama simulizi za kijiweni. Taja basi man.
 
Nimekuelewa mkuu vizuri sana.

Lakini hebu fikiria.

Kama mara tu baada ya uchaguzi na kupata (kumtangaza) rais mteule, mgombea aliepata kura za karibu ya rais mteule aingie mitaani na kuwaambia raia wasimtii rais mteule kwa sababu anaamini ameiba kura.

Hii haitakuwa DEMOKRASIA bali itakuwa GHASIA.

Kama ndio tu umeanzisha chama chako, basi kinadi kwenye vyombo vya habari, ikifika wakati wa uchaguzi nenda kila jimbo ukutane na/ushawishi wanachama wapya halafu ingia kwenye kinyang'anyiro wakati wa uchaguzi.

Huwezi kuanzisha chama cha siasa halafu utegemee ushindi wa dola katika kipindi cha miaka 5.

Your scenario is unrealistic.
Poor you.
 
Ulimwengu hayupo sahihi kusema kuwa hakuna sheria inayozuia aina fulani ya mihadhara au mikutano ya siasa.

Tanzania inayo sheria ya UCHAGUZI inayoeleza ni wakati gani wa kufanya kampeni za kichama za uchaguzi. Hii mihadhara yenye maudhui ya kampeni za kisiasa katika kuwania nafasi za uongozi inakatazwa isipokuwa katika kipindi mahsusi cha kampeni za uchaguzi.

Hakuna kiongozi wa kisiasa aliezuiliwa kufanya mikutano kwenye jimbo lake. Infact wengi huita press conferences au huandika kwenye mitandao ya kijamii na maudhui yake yanawalenga Watanzania wote.

Lakini kuhamasisha wananchi nchi nzima (mfano, UKUTA) kuwataka wampinge Rais (dikteta uchwara) ni aina ya kampeni za kisiasa, na kwa bahati mbaya sheria iko wazi ni kipindi gani wanaweza kufanya hivyo.
Mikutano ya kampeni ni aina moja ya mikutano ya siasa..

Kuna mikutano ya kuendesha vyama... Kuna mikutano ya kutafuta na kuongeza wanachama..
Mikutano ya kupokea na kibua kero ili vyama vije na mpango Wa kuzitatua.. Mikutano ya kuelimisha wafuasi nk ..

Yote ni muhimu kwa maslahi na ukuaji wa chama. Tatizo leo vyama vyote vinadhani sio lazima kuchukua maagizo toka kwa wananchi ..na ccm imejisahau... Sio sikivu tena.
 
hawa wazee sasa wametuchosha sasa hivi kila mstaafu ni mwanaharakati.
huyu aliwahi kuhojiwa uraia wake na serikali ya awamu ya tatu.

Akiwa na kina marehemu John rutayisingwa,Marehemu Muhingo rweyemamu,Johnson bwire na wengineo ndio waliokuwa wakimiliki Habari corporation ambayo ilikuwa ikichapisha magazeti ya RAI,MTANZANIA,MWANASPOTI na mengineyo.
haya yalizoeleka na yalikubalika sana kwa wakati ule..
lakini katika hali ya kushangaza yaliuzwa kwa Rostam aziz(gwiji wa mtandao uliokuwa nyuma ya Lowassa na kikwete)hii ilikuwa ni muda mfupi kabla ya harakati za kampeni na hatimae uchaguzi uliomweka kikwete madarakani,huku waziri mkuu akiwa ni Lowassa.
Baada ya hapo j-ulimwengu akaibuka na RAIA MWEMA gazeti ambalo lipo mpaka sasa.
na ikumbukwe huko nyuma j-ulimwengu aliwahi kuwa kada mzuri wa ccm enzi za mwalimu na cheo cha mwisho alikuwa DC wa wilaya fulani ndani ya Dar es salaam.

Lakini pia ikumbukwe pia baada ya Rostam kutimkia huko ughaibuni inaaminika vyombo vyake vya habari alivyokuwa akivimiliki viko chini ya Lowassa kwa sasa.
na tukiangalia mtiririko wa baadhi ya vyombo vya habari kwa sasa vinaripoti kama vile kuna hiden agenda dhidi ya serikali na serikali inapochukua hatua kudhibiti hali hiyo,basi utasikia wanaharakati wanaporomoka kutoka kusikojulikana na kutoa mapovu ya kutosha ili tu kuwaridhisha wafadhili wanaowapa fedha za uendeshaji taasisi zao.

Je ulimwengu naye yuko upande upi?

UANDISHI?;UANAHARAKATI?
au UANASIASA?
Kwani hana haki ya kuwa pande zote hizo ulizozitaja?. Nia yako haiko clear Mara Uraia wake, Mara lowassa hueleweki
 
usinitusi eti mfia chama wa nchi gani tz hee ?
sikiliA mtumishi masikini mla rushwa wa umma awamu ya 5 imedhuhirisha udikteta hadharana imeingilia bunge mno mimi hata sijalisikiliza tena naliona ka kikao cha wasukuma,mahakama ndo vituko,raisi anajiropokea tuu .hivi nyerere ,mkapa,jk ,mwinyi walikuwa wajinga kuruhusu mikutano baada ya kampeni na si kosa lako kupata div 4 ukaungaunga ndo maana unaandika tukishakuteua hadi miaka mitano iishe ...umenihuzunisha kweli unajua maana ya rule of law daily check and balance ya serikali ya kisheria ,impechment si lazima bunge kunakufanya maandamano ya amani na migomo ya kisheria kumshawishi ajiuzuru umesema uelimishe ukoo unauelimisheje kwa kumfata mmoja mmoja au kuwaita kikao cha amani ukilindwa na polici ,ungekuwa umeoa mbeya tungenyanganya mke leoleo uoaga uoaga tuu

Naona povu limefurika.

Habi mzuka, habi!!

Tulia dawa ikolee.

Dr. Shika angesema, povu lako LINAPENDEZA

Kumbe wala huijali nchi yangu TZ. Kumbuka ulichosema:("usinitusi eti mfia chama wa nchi gani tz hee?")

Sasa unataka msaada gani toka kwangu mimi:
Msukuma.
Mtumishi wa umma masikini.
Mla rushwa.
Dikteta uchwara.
Mwenye Division 4 ya kuungaunga.
Nisiejua rule of law.
Nisiejua checks & balances.
Kuna nilichosahau?

Unatumia nguvu nyingi sana kwa mambo rahisi. Jaribu meditation itakusaidia.

Unajua, ningekua nimeoa Mbeya halafu mjifanye mnamchukua dada yenu msobe msobe, angewatia risasi. Mihogo mingine sio ya kupokonywa mdomoni.
 
nice to meet you ukitumbuliwa tutakaamezani
 
Mikutano ya kampeni ni aina moja ya mikutano ya siasa..

Kuna mikutano ya kuendesha vyama... Kuna mikutano ya kutafuta na kuongeza wanachama..
Mikutano ya kupokea na kibua kero ili vyama vije na mpango Wa kuzitatua.. Mikutano ya kuelimisha wafuasi nk ..

Yote ni muhimu kwa maslahi na ukuaji wa chama. Tatizo leo vyama vyote vinadhani sio lazima kuchukua maagizo toka kwa wananchi ..na ccm imejisahau... Sio sikivu tena.
Ni kweli kabisa mkuu.

Vyama vya siasa vinaishi kupitia hii mikutano ya ndani-faragha, ndani-kadamnasi (town hall meetings) na ya nje (rallies).

Lakini kumbuka chama cha upinzani ACT-Wazalendo kimekuwa na mikutano ya ndani-kadamnasi na ya nje mara nyingi tu (Kigoma, Tabora, Mwanza, nk.).

CUF pia wamekuwa na mikutano yao kama hii mara kadhaa (ingawaje mara nyingi wamejivuruga wenyewe).

Vyama vyote vinakuwa na mikutano ya ndani-faragha mara nyingi tu na hatuijui.

Kwa hiyo sio sahihi kusema kuwa mikutano ya kisiasa ya vyama vya upinzani hairuhusiwi. Isipokuwa hii mikutano inahitaji kufuata sheria. Ni lazima kupata kibali cha polisi (kama ilivyo kwa makongamano ya aina yoyote ile ya watu). Angalia Katiba ya JMT 20 (1).

CHADEMA NDIO TATIZO.
Tatizo kubwa ni kuwa CDM wanafikiri kuwa wao wako juu ya sheria. Hawaombi vibali vya polisi kufanya mikutano yao. Na wakiwa na mkutano uliopewa kibali watapitiliza muda uliowekwa kwa makusudi.

Huu ndio mkakati wa siku zote wa CDM - HARAKATI - Civil Disobedience.

Hizi mbinu za kiharakati za kuvunja sheria ili wapambane na vyombo vya dola halafu wapate coverage kwenye vyombo vya habari ndio uliowapa umaarufu mkubwa hapo awali. Inaelekea bado hawajabadilisha mbinu.

Serikali ya awamu hii ya 5 imeamua kudhibiti uvunjifu wowote ule wa sheria hata kama ni mdogo kiasi gani. Ni katika hali hii ya kusimamia sheria ndio inayowafanya CDM waseme Magufuli ni DIKTETA.

Serikali ya awamu ya 4 iliwapuuzia CDM walipokuwa wanavunja vijisheria vidogo vidogo. Walivumiliwa mpaka CDM wakamuita Rais Kikwete eti ni DHAIFU. Sasa huyu anaezisimamia sheria to the letter anaitwa DIKTETA.

MIKUTANO YA KISIASA INARUHUSIWA.
FUATA SHERIA.

Lakini hatuwezi, kama nchi, kuwa kwenye perpetual campaign mode kuanzia 2015 mpaka 2020. It is disruptive to development projects.

Kama hamumtaki Magufuli, subirini mumtoe madarakani ikifika 2020. Sisi wengine hatuna vyama. Spare us the disruptions.

LEARN TO BE A GOOD LOSER.
There is always the next election.
 
Umeeleza vizuri mpaka pale ulipoleta uchama... I don't care CHADEMA an whoever does what... Nazungumzia chama ambacho ni mwanachama wake.. CCM.

When was the last time umeenda kwenye mkutano usiokuwa wa kunadi mgombea Wa chama cha Mapinduzi?! Sikuhizi wakija ni kuomba kura ..hawataki kusikia matatizo ya wananchi as if used tobe anymore.

Hizo kero zetu wanazijuaje?! FYI hili sijakwambia wewe tu hapa Jamii forums nalisema hata kwenye vikao navyopata nafasi ya kuhudhuria.

Kama chaka kingejikita kuondoa mipasho na vijembe ..kama yule sijui kibajaji..kuongea ujinga ujinga labda kingeongeza nguvu kutetea hoja, katika utu na nidhamu kama Akina Mwl. Siasa sio mauozo wanayofanya sasa hivi.. Wote.. hao wapinzania na CCM.. Hakuna viongozi wote parasite.. Wapo kujaza matumbo yao.
 
Umeeleza vizuri mpaka pale ulipoleta uchama... I don't care CHADEMA an whoever does what... Nazungumzia chama ambacho ni mwanachama wake.. CCM.

When was the last time umeenda kwenye mkutano usiokuwa wa kunadi mgombea Wa chama cha Mapinduzi?! Sikuhizi wakija ni kuomba kura ..hawataki kusikia matatizo ya wananchi as if used tobe anymore.
Mimi sio mwanachama wa chama chochote kile kwa hiyo ninajiita yatima. Lakini kama wewe ni mwanachama wa CCM, gangamala uingie kwenye shughuli za chama kwenye shina lako. Fanya mabadiliko kutoka ndani ya chama chako. Usisubiri mpaka uchaguzi mkuu.
)Hizo kero zetu wanazijuaje?! FYI hili sijakwambia wewe tu hapa Jamii forums nalisema hata kwenye vikao navyopata nafasi ya kuhudhuria.

Kama chaka kingejikita kuondoa mipasho na vijembe ..kama yule sijui kibajaji..kuongea ujinga ujinga labda kingeongeza nguvu kutetea hoja, katika utu na nidhamu kama Akina Mwl. Siasa sio mauozo wanayofanya sasa hivi..
Ndio maana nikasema kuwa watu wenye ufahamu kama wewe jaribuni kuingia kwenye taasisi za vyama vyenu ili muweze kubadili muelekeo kutoka ndani. Ni vigumu sana kukishawishi chama kibadili muelekeo kama wewe sio mwenzao (ndani ya chama).

Watu kama Mh. Lusinde (Kibajaji) ni watu wa muhimu sana ndani ya chama chohote kile cha kisiasa. Hawa ni wahamasishaji, wachekeshaji, wanaoleta kivutio kwa chama, na wanaowafanya wananchi wengi waje kusikiliza hotuba zilizoandaliwa na chama.

Hawa, zaidi ya kuwa ni viongozi wa chama, pia ni vivutio vikubwa vya watu. Unaweza kusema kuwa ni wasanii tu lakini ni watu wa muhimu sana katika chama.

Pengine wewe na mimi tungependa mikutano ya siasa ijadili sera kavu kavu tu. Lakini lazima tukubali kuwa wananchi wengi huwa hawana haja ya kujua figisu figisu za sera ilmradi maisha yao yatakuwa mazuri.

Ndio maana mikutano mingi ya kampeni utaona wasanii mashuhuri wa muziki, komedi, sinema, nk. wanaalikwa. Ni kivutio kitakachowaleta wengi ili wasikie chama kinataka kuwaeleza nini au kumnadi nani.

Hiyo inaitwa SIASA.
Wote.. hao wapinzania na CCM.. Hakuna viongozi wote parasite.. Wapo kujaza matumbo yao.
Kwa maneno yako hayo umenidhirishia kuwa wewe upo tayari kushika nafasi ya uongozi ndani ya CCM au chama kingine.

Ni pale tu unapoona kuwa viongozi wa kisiasa wa chama chako wanavurunda ndipo unapopata ari ya kushika nafasi ya uongozi wewe mwenyewe.

Hongera mkuu, umejitambua. Wewe ni kiongozi.
 
Kwanza lini amekua raia halali wa Jamuhuri ya Muungano?
Raia Mwema inalipa kodi ipasavyo kweli?
Michango yote ya social securities amelipa kwa wakati?
Yeye mwenyewe analipa kodi ipasavyo kutokana na kazi zake za uwakili?

Haya asije tu akaomba poo mwenyewe
pumb sana
 
Wewe tukifuatilia kwa ukaribu Uria wako unaweza jikuta we mkongo
 
Nina imani Lowasa angepandisha mishahara zaidi kws watumishi wa umma
 
Nimekuelewa mkuu vizuri sana.

Lakini hebu fikiria.

Kama mara tu baada ya uchaguzi na kupata (kumtangaza) rais mteule, mgombea aliepata kura za karibu ya rais mteule aingie mitaani na kuwaambia raia wasimtii rais mteule kwa sababu anaamini ameiba kura.

Hii haitakuwa DEMOKRASIA bali itakuwa GHASIA.

Kama ndio tu umeanzisha chama chako, basi kinadi kwenye vyombo vya habari, ikifika wakati wa uchaguzi nenda kila jimbo ukutane na/ushawishi wanachama wapya halafu ingia kwenye kinyang'anyiro wakati wa uchaguzi.

Huwezi kuanzisha chama cha siasa halafu utegemee ushindi wa dola katika kipindi cha miaka 5.

Your scenario is unrealistic.
Kama kutatokea uvunjifu wa sheria( uchochezi)kwenye hiyo mikutano sheria zita fatwa na si vinginevyo..

Na swala la kinadi chama kwenye media sio sawa na kunadi sera kwebye mikutano, natoka lini mnapanga channel za kufikisha sera? Mbona hakuna sheria inayo elekeza ivyo wew umetolea wapi iyo?
 
Back
Top Bottom