Nnangale
JF-Expert Member
- Jul 20, 2013
- 2,664
- 1,375
Character assassination.Kwanza lini amekua raia halali wa Jamuhuri ya Muungano?
Raia Mwema inalipa kodi ipasavyo kweli?
Michango yote ya social securities amelipa kwa wakati?
Yeye mwenyewe analipa kodi ipasavyo kutokana na kazi zake za uwakili?
Haya asije tu akaomba poo mwenyewe