Waberoya
Platinum Member
- Aug 3, 2008
- 15,169
- 10,786
Invayolekea mvutano ulipo sasa umechangiwa na umbea na majungu. Umbea wako kama huu wa Zito kutaka kuchomwa kisu unanipa picha ya mchango wako katika kumpotosha Zito na kumjaza majungu. Inalekea kiu yako ya kuwa na msisimko wa kisiasa wakati wote inakulazimisha kubuni mambo ambayo hayapo wakati wote na kisha kuyaamini kama ni ya kweli. Ni aibu kwa mtu wa taaluma yako kujidhalilisha katika kiwango hiki. Pengine ushauri wako ndio mwiba kwa mustakabali kisiasa wa zito. Hakika kikulacho .
Eric, niliisha kuelewa tangu ulipoanza article ya kwanza , ila wengine hatuna kiswahili na mvuto wa maneno.Tunandika tunachowaza kama unavyofanya.
Hoja yangu ni kuwa nini msimamo wako kuhusu walilofanya Chadema?
Je unayaamini maneno ya mtei kuwa fedha ilipenyezwa, nani alipewa fedha na nani? au hayo si majungu, au kuna rank za majungu.CHADEMA siku zote wanatafuta documen wakionozwa na Slaa, leo swala la watu kuwapewa rushwa linazungumzwa tu, kama unavyosema 'kufikirika' linamweka wapi Zito? Na je Mtei anaposema hivyo si anamsema Zito?
Una kithibitisho gani kuwa pengine Zito alishajitahidi kuyaweka mambo sawa yakashindikana?
Unasema swala la 'kumtenda Chacha' Umeniangusha, haiwezekani uandike nakala ndefu hivi then usiweze kuelewa sentensi fupi alizosema Zito! Zito alimaanisha na alikuwa anamjibu Asha kuwa '' kama yeye CHADEMA SASA INAVYOMSEMA YEYE ANACHUKUA HELA CCM?NDIVYO WALIVYOMFANYIA WANGWE, Eric usichoelewa hapa ni nini jamani! sina kundi, nataka ukweli! kwa hili umekosea hata kama utaandika mashairi mia! period!
Unnapokuja na kutosaidia future ya wapambanaji wengine siyo CHADEMA tu, naingia na wasiwasi, TUNAWALINDAJE HAWA WAPAMBANAJI WETU? MAANA KWA tuhuma, kuumizwa na kufanyiwa yooote mabaya wataweza?
Ngau Zito ameweza hat kama leo atakaa bench, je anayekuja nani na tuna proof gani? ili swala lisiwe la kiitikadi ukiwaza globally utaona kama kuna MAKOSA ya Zito we need to know the source! kama CHADEMA haifai kama CCM, why not say it! kwanini kijiko kisiitwe kwa jina lake?
Woote Chadema, akina Zito naona wanacheza tu, wamerudi mwaka 90' belive me when I say this.
Message sent, auwezo wa kujibizana na wewe!