SnowBall
JF-Expert Member
- Sep 13, 2011
- 3,054
- 2,840
- Thread starter
- #21
kila mtu ana njia zake za kutafakari mambo.
Mie bench mark yangu yaweza kuwa kiuno, mwingine miguu, mwingine kichwa.
Ukitumia benchmark ya mtu mwingine kutafakari waweza kujipoteza zaidi.
Hii sio roketi sayansi au mjadala wa kitaaluma.
Well said Kongosho wakati mwingine tuache ubishi na kukitazama kila kitu katika mizania ya kiakademia..
Neno wivu ni neno lililopo kwenye jamii zetu na linatumika na pengine tunalitumia sana..
Kwa Eiyer kutaka kila kitu utafuniwe ni kutoeitendea haki akili yako na weledi wako..
Tunaweza kupishana kuchambua mambo lakini lazima tukubali kwamba kupishana ndio mjadala wenyewe..
Nabaki kushangaa mtu anaposema hajui 'maana ya neno wivu'..
Last edited by a moderator: