Je wewe una'share' birthday na mtu gani maarufu?

dah!....mapenzi ninayopewa na Madame B ni sawa na mgao wa umeme
Ruhazwe JR, ndo umekuja kutangaza huku mambo yetu ya chumbani?
Sasa,Alunta Continua,
sasa nahama kabisa nyumba.
Wenzio wananililia ucku na mchana, wewe unaleta za kuleta..?
Na utakula jeuri yako.
Utakula ulikopeleka mboga.
 
Last edited by a moderator:
Binafsi nimezaliwa tarehe 25 novemba...na ninashare birthday na aliyekua mtoto wa Rais wa Marekani J.F Kennedy Jr.
Vipi ninyi wenzangu siku zenu za kuzaliwa mnashare na watu gani maarufu wanaweza kuwa marais, wasanii, wanamichezo nk.

mimi bana wakati nazaliwa sikuwepo hivyo siwezi kumbuka nimezaliwa tarehe ngapi
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom