teh teh teh teh umenchekesha sana kongosho, kumbe hta nyie? na sisis pia hvyo hvyo.sie kitanda cha 2 *6, huwa mmoja analala juu ya mwenzie.
Umeona eeeh................Na ndio maana nawashangaa wanandugu hapa, pale wanapozungumzia swala la kujamiiana wana ID kwa 6 x 6.... this is wrong, kwa nini wasisema kunako 3 x 6..
Mie likitanda la 6 x 6 ni la nini, silitaki mie, kujaza nafasi na kutoa nafasi kwa shetani kuwatengenisha..... mambo yote 3 x 6 ndio mpango mzima
Mtambuzi hivi kuna therapy kwenye ulalaji eeh?
Mie nilidhani inakuja automatically...Ila nadhani kwangu mimi ulalaji kama huo wa kwenye CD BANK unahusika sana.
sie kitanda cha 2 *6, huwa mmoja analala juu ya mwenzie.
Kwa nguvu gani wakija hapo wako hoi kwa kazi za kubeba wazee wakizungu na kuwafuta maudenda, na wala hawajui kama wako mwanamke na mwanamme hapo!Kama ingekuwa mie, ningeshashtakiwa kwa kesi ya ubakaji............. Chezea Babu Mtambuzi weye...LOL
Mtambuzi hivi kuna therapy kwenye ulalaji eeh?
Mie nilidhani inakuja automatically...Ila nadhani kwangu mimi ulalaji kama huo wa kwenye CD BANK unahusika sana.
Wanalala na nguo ili iweje?
hapo umenena 3x6 kimeo kama mwenzio kapiga kinywa wewe hujapiga utakoma... na fleva yake.... raha ya kulala ujiachiee ujimwage..