Jiwe Linaloishi
JF-Expert Member
- May 24, 2008
- 3,736
- 2,137
umeona eee Jiwe Linaloishi, basi ukigeuga unakutana na pumzi nzito unarudi upande wako!!! ukiamka asubuhi looh maumivu.....na magodoro yetu haya ya banco...heheheheeee
hahahaha bado kukoroma.... na hivi vitanda vyetu vya teremka tukaze kazi ipo...