Je Wanafunzi huyu aliona kitu gani?

Mwalimu ;" wewe john unacheka nini?"
John ; "mwalimu Umekaa vibaya nimeona mapaja yako "
Mwalimu ; "huna adabu wewe toka nje nisikuone
mpaka kesho"
Mwalimu ; "na wewe Michael unacheka nini??"
Michael; "mwalimu nimeona kamba ya
bikini yako"
Mwalimu ;" shenzi wewe toka nisikuone mpaka next week"
Mwalimu ; "na wewe Jose vipi??"
Jose ; " "mwalimu nimeona tattoo yako"
Mwalimu ;"hii mitoto,toka nisikuone mpaka mwezi ujao"
Mwalimu ; "na wewe Eric unaenda wapi
sasa???"
Eric; "nilichokiona mwalimu nadhani nimefukuzwa shule kabisa."

You made my day.....
 
Kweli wote wamedata ila walimu aina hiyo wapo wanapenda kuwabaka vijana
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom