Je wajua????????

1. Je wajua kwamba unaweza kuusikia mlio wa bawa la mbu linapokudondokea shavuni kwako usiku wa manane kukiwa na hali ya utulivu sana?

2. Je wajua kwamba ukiweka msumari wa inch 4 ndani ya soda ya Coca cola na kuuacha siku nzima unayeyuka kabisa?
Prove it.

3. Je wajua kwamba mtu wa kwanza kuvumbua donge la chumvi,alikufa pasipo kuijua ladha yake?
Alijiua kwa maana lilidondokea ktk bakuli la supu la mfalme na alijua ni sumu kumbe ni chumvi?

4. Je wajua kwamba kuna binadamu ambao wana uwezo wa kupaa na kuelea angani?

5. Je wajua kwamba ukiamka usingizini saa 8 dk 8 sekunde 8 siku ya tar 8 siku 8 baada ya tar 1 usiku unaweza kuiona taswira ya sura yenye mfano wako nje ya dirisha lako?
Prove it.

6. Je wajua kwamba mtoto mdogo na dhaifu kuliko wote duniani alizaliwa nchini China miaka hiyo?
Alizaliwa April 5, 1896 na alipozaliwa tu alilazwa ndani ya kijiko cha chakula na alienea?
Ila aliweza kuishi kwa siku 3 tu kisha akafariki.

How do you do this...i've always wanted to be a superman tufundisheni
 
ntajaribu, hebu nambie!

Amka ucku wa saa 8 unusu au 9 usiku ukiwa umevaa kaniki tupu.
Kavunje tawi bichi la mti wa Msonobari.
Liunguze na moto kisha majivu yake yamwage ndani ya tundu la choo cha shimo.
Ukishafanya hvo geuka mbele choo kiwe nyuma yako.
Usigeuke nyuma tena mpaka utakapohsi umeshikwa bega na mtu,ukigeuka ndipo utakapouona huo mzuka.
Jariibio hili nililifanya nyumbani kwa rafiki yangu Morogoro maana nilimbishia.
Ila Inatisha Charm.
Mimi nilizimia mpaka Alfajiri ndipo nikazinduka.
N.B
Choo kiwe cha shimo.
 
hii ndoa ilifungwa wapi mbona sikupata mwaliko Madame B?

Sema wewe kiazi,nikisema mimi muhogo wanasema nina mzizi katikati, mi nashangaaga tu kuskia watu wanaitana wife,husband,dear,e.t.c mi shjawahi pata nafasi hiyo!
 
Last edited by a moderator:
JE Wajua kwamba TIKITImaji ndo tunda linaloongoza kuliwa AFrica likifuatiwa Na NDizi
 
Afu wewe acha speculations,mi nimeongea alone bila ku team up na mtu yeyote! mbona twaskia tu hubby,wife na ndoa hatukutangaziwa!!!!!?
 
duh, Madame B huku ninapoishi hakuna choo cha shimo. afu kaniki pia sina! afu huo mti wa msonobari huku haupo! pia hata kama ungekumepo issue ya kutoka nje mida hiyo noma
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom