Je wajua????????

Je, wajua
kuwa kuwa ubwabwa ndio chakula pekee kinachopendwa na watu wengi hasa watoto hapa tanzania?
 
Je wajua kuwa meli ya seawise giant ndiyo meli kubwa duniani ina urefu wa mita 458! Yaani zaidi ya viwanja vinne vya mpira?
 
7. Je wajua kwamba jicho lako halikui tangu uzaliwapo hadi unapokufa?
Lakini sikio lako huongezeka kiduchu sana kila ifikapo mwezi wako uliozaliwa?
Najua hujui,ila jua hilo.

8. Je wajua kwamba ng'ombe mzee kuliko wote duniani alikuwapo nchini Guatemala mwaka 65's
Alikuwa na umri wa miaka 98 na hata alipochinjwa alitoa damu lita moja tu mwilini mwake na nyama yake ilikuwa kama iliyokaushwa?
Chukua hyo,maana najua hujui.

9. Je wajua kwamba kwa kila Kontinenti(Bara) Ulimwenguni ni lazima ndani yake kuna mji unaoitwa Rome?
Ng'amua ktk Bara la Afrika mji wa Rome uko Nchi gani?

10. Je wajua kwamba kila mwaka nchini Urusi watu elfu 25 uhama makazi yao au vitongoji vyao kwa kuogopa Mizuka?
Ingekuwa hapa Tz ungekubali kuhama?
 
Madame B hilo suala la jicho mbna cjakupata ati. . . hebu dadavua kiduchu

Ok ni hv,ukubwa wa jicho lako siku unayozaliwa ni uleule,hauongezeki wala haupungui mpaka utakapokufa,ila kitakachofanya jicho lionekane kubwa ni nyama za nje za chini na juu ya jicho hutanuka na kuvutana ktk ukuaji wa uso na hvyo hupelekea kuonekana jicho lako kubwa,lakini si hvyo.
Jicho halikui.
 
Last edited by a moderator:
Madame B issue ya mizuka ni noma. km ingekuwa mîe ningehama tu. wee asikwambie mtu mzuka kitu kingine!
 
Last edited by a moderator:
Madame B issue ya mizuka ni noma. km ingekuwa mîe ningehama tu. wee asikwambie mtu mzuka kitu kingine!

Hapana huwezi kuikimbia Mizuka.
Ila Charm unahtaji kuona mzuka ulivyo?
Ila usiogope.
Nataka nikupe zoezi ukalifanye leo usiku kwako ili uuone mzuka.
 
Last edited by a moderator:
Ok ni hv,ukubwa wa jicho lako siku unayozaliwa ni uleule,hauongezeki wala haupungui mpaka utakapokufa,ila kitakachofanya jicho lionekane kubwa ni nyama za nje za chini na juu ya jicho hutanuka na kuvutana ktk ukuaji wa uso na hvyo hupelekea kuonekana jicho lako kubwa,lakini si hvyo.
Jicho halikui.

hapa ndo ule usemi wa kuwa "ualimu ni wito" unakamilika. hakika wanafunzi wako huwa wanafaidi sana.
N.B. C kwamba lazima uwe mwl ila kwa yeyote unayemuelekeza must ataelewa..
https://www.jamiiforums.com/newreply.php
 
Back
Top Bottom