Seif Mselem
JF-Expert Member
- Oct 16, 2023
- 257
- 441
Toka miaka ya 1910 Kampuni ya Ndege Aina ya..."Boeing Airplane"
Kutoka Nchini Marekani...
Chini ya Usimamizi wa CEO wake Makini...
"William Boeing"
Ndio Ilikuwa Kampuni Bora ya Muda wote ya Kutengeneza Ndege kwa Kipindi hicho. Huku Ikipata Usaidizi kutoka kwa Engineers wake Makini Kabisa wa Kipindi hicho...
Yaani...
George Westervelt na Wong Tsu
Kama Hufahamu tu Boeing Ndio Kampuni ya kwanza Kutengeneza Ndege za Abiria.
(Commercial Airplanes)
Vile Vile ndio Kampuni Pekee ambayo Ndege zake Zilitumika kwenye Vita ya Kwanza na Vita ya Pili ya Dunia (WWI & WWII).
Na...
Moja ya Sababu ya Boeing kufanikiwa, Kupata dili Kubwa na Kutengeneza Mpunga Mrefu Ilikuwa ni...
Jinsi MISSION STATEMENT ya Biashara yao Ilivyokuwa. Ambayo Ilikuwa Inasema Hivi...
"To Make BEST Airplanes In the World"
Kwahiyo walikuwa na Malengo ya Kutengeneza Ndege BORA Zaidi Duniani. Ndege Ambazo Zitakuwa na...
Kasi
Zitadumu kwa Muda Mrefu
Na...
Ndege zenye Ufanisi Zaidi Kuliko Zingine...Efficiency!
Na...
Hii Ndio sababu Namba Moja Iliyofanya Jeshi la Marekani kununua Ndege 70 kutoka kwenye Kampuni ya Boeing kwa ajili ya Vita ya Pili ya Dunia...WWII.
Kitu Ambacho kinaonesha ni Kiasi gani Kampuni Ilijali kuhusu Bidhaa Bora na Imara kwa Wateja wake... Ndio Sababu Ilipata Mafanikio makubwa.
LAKINI...
Licha ya Mafanikio yote Hayo ilipofika Miaka ya 90's Boeing Iliajiri CEO Mpya, Aliyekuwa Ametoka Chuo na Akiwa na Vigezo kama vya Chuo Kikuu cha... HAVARD!
Yaani...
Kama ni Chuo basi yule Mwanafunzi Bora darasani (Best Student) ndio achukuliwe Akapewe kazi ya u CEO kwenye Kampuni.
Ambalo Lilikuwa ni Wazo Zuri kwa sababu Ilibidi baadhi ya watu wa Muda mrefu Wapumzike.
Japo yule CEO kutoka Chuo yeye alikuja na... Mission Statement Mpya. Hakutaka tena Kutengeneza Ndege Bora na zenye Usalama.
Bali alitaka kutengeneza Ndege zenye gharama za Utengenezaji ndogo...
(Low Operational Cost)
Ili aweze Kutengeneza faida Kubwa baada ya Kuziuza na kuongeza faida kwa Waweka hisa wake...(Shareholders)!
Kwa Ufupi tu alibadili FOCUS ya Kampuni toka kwa...
"Customers kwenda kwa Shareholders"
Ambapo aliwataka Engineers wa Kampuni wapunguze matumizi ya Pesa waliokuwa wakifanya.
Kwasababu...
Muda mwingi walikuwa Wakitumia kufanya Utafiti wa...Kipi ni Chuma bora zaidi ya Kingine kwaajili ya Kutengenezea Ndege.
Na...
Vitu Vingine vya Kiutaalamu na Kiufundi ambavyo Viliifanya Kampuni Kupata Mafanikio zaidi.
Kwahiyo Vyote hivyo vilifutwa na Huyu CEO Mpya wa Boeing.
Na...
Mwisho wa Siku ilipofika mwaka 1997 Kampuni ya Boeing Iliporomoka sana Kimauzao Duniani.
Ikapata hasara na Kuingia kwenye Madeni makubwa na Ndege zake zikajulikana kwa sifa mbaya ya Kupata Ajali.
Kitu kilichopelekea Kampuni kama "AirBus" ambayo Ilikuwa mshindani wake Mkubwa Kuchukua nafasi yake Sokoni!
Na huo Ndio ukawa Mwanzo wa Boeing Kupotea kwenye Soko La NDEGE hadi Leo hii.
So Nini Moral ya Story Hii Mselem?
(Unaweza Kujiuliza)!
Yeah Vizuri! Angalia Hapa
Kama Upo au Unataka kuingia kwenye Biashara yoyote Ile...
"Kumbuka Huingii kwenye Biashara kutengeneza PESA... Unaingia kwenye Biashara Kutatua CHANGAMOTO za Wateja Wako"
Rudia Kusoma Tena Hiyo
Kwa sababu Pesa ni Matokeo ya...
Kutatua Changamoto... (Solving Problems)
Kuongeza Uthamani... (Adding Values)
Na...
Kurahisisha Maisha ya Watu...(Simplyfying Life of Others)
Hizo Ndizo sababu za Wewe kuwepo kwenye Biashara na Hizo sababu ndio zitakupa Pesa.
Kwahiyo...Siku utakayo hamisha Focus yako Kutoka kwa Wateja kwenda Sehemu Ingine Ndio Itakuwa muda Sahihi wa Washindani zako Kukutoa Sokoni na Kuchukua nafasi yako.
Kama Ilivyokuwa kwa Kampuni ya Boeing!
Kwahiyo...
Kama Unatengeneza Keki, Juice, Sabuni, Ubuyu, Mafuta au Unaagiza Mizigo China n.k..
Hakikisha FOCUS Yako yote ni Kutengeneza Keki Tamu na Bora kuliko washindani Zako.
Ubuyu Mzuri na Mtamu Kuliko Mtu yoyote kwenye Soko Ulilopo.
Unaagiza Bidhaa BORA na NZURI Kuliko washindani zako.
Yaani...
Focus yako yote Iwe ni Kutengeneza Bidhaa BORA Kuliko washindani zako...Product Centric!
Na...
Kutengeneza Bidhaa Ile wanayoitaka Wateja wako Zaidi...Customer Centric!
Na...hiyo Ndio Itakuwa SIRI ya Wewe kutengeneza Pesa Nyingi Zaidi Sokoni
Tofauti na Hapo... Utaenda kuwa kama CEO wa Boeing.
I Hope Umejifunza Kitu Kipya.
Uwe na Siku Njema.
Gracias