Je wajua????????

Mr Penal Code

JF-Expert Member
Jul 9, 2012
823
213
kwamba MBUNI ni ndege mwenye mwendo kasi zaidi kuliko ndege wote duniani anakimbia KM 70 kwa saa.Hebu na ww pia andika hapa MADA yako inayoanzia na kichwa cha habari je wajua.
 
Je wajua ?
Kwamba Tembo wanao uwezo wa kuwasiliana kupitia waves chini ya ardhi takriban km 500 kutoka alipo Tembo mmoja hadi mwengine.
 
Je wajua?
Kwamba Ndege aina ya Korongo ndiyo Ndege wanao safiri masafa marefu (continet to continet ) kuliko Ndege wengine wowote duniani .
 
This is true...

Je wajuu it snowed in the Sahara desert on
february 18 1979.
 
Je wa jua
the original name for butterfly was flutterby ?

Je wajua
Akili yako is more active sleeping than it is watching tv?

Je wajua
a violin contains about 70 individual pieces of wood ..
 
  1. Je wajua ndimu inasukari nyingi kuliko strawberries (Sacarose) ?
  2. Je wajua kingereza sio lugha ya kwanza wala ya pili duniani? (Mandarin na spanish zimeitangulia kwa idadi ya watu kuongea)?
  3. Je wajua hakuna chakula ambacho kipo naturally blue?
  4. Je wajua Asali haiozi hata baada ya maelfu ya miaka?
  5. Je wajua Jina la kwanza la internet ilikua ni ARPAnet? (Advanced Research Project Agency Network)
  6. Je wajua kua chura hawanywi maji? (wana-rehydrate kwa kupitia ngozi zao)
  7. Je wajua ukila aple asubuhi inakuchangamsha haraka kuliko kahawa?
  8. Je wajua mkojo wa paka unameremeta under black light (it glows)
  9. Je wajua Mbuni (austriches) hawaziki kichwa chao mchangani? (there is a believe that they do)
  10. je wajua kua idadi ya watu wanao kufa kwa sumu ya nyuki ni kubwa kuliko wanao kufa kwa sumu ya nyoka?
 
1. Je wajua kwamba unaweza kuusikia mlio wa bawa la mbu linapokudondokea shavuni kwako usiku wa manane kukiwa na hali ya utulivu sana?

2. Je wajua kwamba ukiweka msumari wa inch 4 ndani ya soda ya Coca cola na kuuacha siku nzima unayeyuka kabisa?
Prove it.

3. Je wajua kwamba mtu wa kwanza kuvumbua donge la chumvi,alikufa pasipo kuijua ladha yake?
Alijiua kwa maana lilidondokea ktk bakuli la supu la mfalme na alijua ni sumu kumbe ni chumvi?

4. Je wajua kwamba kuna binadamu ambao wana uwezo wa kupaa na kuelea angani?

5. Je wajua kwamba ukiamka usingizini saa 8 dk 8 sekunde 8 siku ya tar 8 siku 8 baada ya tar 1 usiku unaweza kuiona taswira ya sura yenye mfano wako nje ya dirisha lako?
Prove it.

6. Je wajua kwamba mtoto mdogo na dhaifu kuliko wote duniani alizaliwa nchini China miaka hiyo?
Alizaliwa April 5, 1896 na alipozaliwa tu alilazwa ndani ya kijiko cha chakula na alienea?
Ila aliweza kuishi kwa siku 3 tu kisha akafariki.
 
Umetishaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa

mh...!!! ngoja niprove hiyo namba 2 kwanza
 
Je wajua neno @level ndio neno pekee la kingereza unaloweza kulisoma tokea pande zote na likakupa maana ileile.
 
mysteryman hiyo ya 5 kiboko, ngoja nije niijaribu. thou it seems to be very difficult, have u ever try it?
 
Last edited by a moderator:
Je wajua kuwa huwezi toa hewa nje ya kinywa ukiwa umetoa ulimi nje!?

Rudisha ulimi kinywani haraka!!!! acha ujinga
 
je wajua kuwa KIKWETE ni rais DHAIFU kupita wote waliowahi ku-exist AFRICA?
 
Je wajua mwanadamu ili akielewe kitu vizuri anatakiwa akisikie zaidi ya mara 16?
 
Je wajua nchi yako wafanyakazi ndio wanaolipa kodi kubwa kuliko matajiri na wafanyabiashara?
 
Back
Top Bottom