Je,Wajua?

Alvin Slain

JF-Expert Member
Aug 30, 2011
6,375
3,655
Je wajua meya wa kichina katika zama hizi? Meya wa kichina alianza kuuvuruga mji wa Arusha mara baada ya uchaguzi mkuu wa mwaka jana ambapo taratibu na kanuni za uchaguzi wa mayor zilikiukwa hali iliyosababisha jiji la Arusha kukumbwa na vurugu za kila mara.Je meya wako ni halali?
 
Back
Top Bottom