Tate Mkuu
JF-Expert Member
- Jan 24, 2019
- 28,633
- 82,594
Hiki unachosema nadhani kinaweza kuwa na ukweli kwa 100%. Maana kuna mtu wangu wa karibu alikuwa ni msimamizi wa uchaguzi wa 2020, aliwahi kuniambia hivi hivi.Mkuu Tate Mkuu , nyinyi mnaomsusia ngedere shamba la mahindi ndio mnao sababisha kila mwaka tunavuna mabua!.
Numbers don't lie! Elections 2015 - Kuelekea 2015: CHADEMA, Don't Miss the Target, Adui Mkubwa sio CCM Bali ni ...
Watu wote wenye umri wa kupiga kura wasipo jiandikisha na kujitokeza kupiga kura, hawa ndio wanao ipa CCM ushindi kwasababu majina yao yataandikishwa na kura zao watapigiwa na zote zitaichagua CCM!.
P
Eti baada ya watu kuondoka kituoni, walijifungia na kupiga kura za kuwapa ushindi mgombea wa urais wa kipindi hicho kupitia chama tawala, mbunge wa chama tawala, na pia diwani.
Na alisema kabla ya kupiga hizo kura, mgombea urais wa upinzani na mgombea ubunge wake na yule wa udiwani; ndiyo waliokuwa wakiongoza kwa kura nyingi tu.
NB:- Bado msimamo wangu hautabadilika. Maana inauma kushiriki hayo maigizo yanayoitwa uchaguzi. Mambo yakibadilika walau kama ilivyokuwa 2015 kurudi nyuma, nitashawishika.