Je, wabunge watakaoshinda kupitia CHADEMA 2025 watagomea mshahara wa Milioni 18 kwa mwezi?

Professor wa chuo kikuu hapati hata ml 15 Kwa mwezi,

Iweje Musukuma wa la Saba akunje zaidi ya ml 18 Kwa mwezi?
Una matatizo ya akili nadhani. Mbowe alichofanya ni kuhabarisha Umma kujua wawakilishi wetu wanaishije huko Bungeni. Kuna shida gani wewe na wengine kupata hiyo taarifa?! Kama taarifa imekuuma ndo uwauliza hao waliojiongezea. Shida iko wapi?
 
Salaam, Shalom!

Mimi ni MMOJA wa wananchi anayepinga wabunge kulipwa zaidi ya milioni 3 tatu, Kwa mwezi kutokana na Pato kiduchu linalokusanywa maana ubunge ni KAZI ya kujitolea, ni part time job!!

Amen
Tena Watapigia kura kupata 36m😅😅😅
 
Very wrong postulation.

Kazi ya msingi ya mbunge ni kuhakikisha matumizi sahihi ya kodi za wananchi SI masuala ya mfuko wake binafsi. sijui kama unaelewa maana ya “legislative assembly”.

Mafanikio ya wabunge na chama chao ni pale wanapofanikiwa kupitisha miswada inayosaidia taifa. Au angalau kutetea kwa nguvu na msimamo usioyumba wa miswada hiyo. Sio michango binafsi toka mifukoni mwao.

Pendekezo uliloweka hapo nilipo-highlight (red/bold) sio la mtu mwenye uelewa wa kimantiki wa bunge, vyama vya siasa na serikali. Ni la mtu anayeendeshwa na hisia za kinafiki. Completely illogical. Sorry.
Wewe ni mbunge, au uliwahi kuwa mbunge?

Mbona umetokwa povu sana?

Unajua milioni 18 tunataka watu maskini ambao hata kupata Milo mitatu Kwa siku ni taabu?
 
Hahahahahaha swali gumu kwakoo, Bongo siasa ni ajira, abadani hawataukataa huo mpunga tupo hapaa na Mungu atupe uhai
 
Mamlaka ya vyama vya siasa hutoka Kwa wananchi.

Unalijua hili.
Kwahiyo unaiamrisha CHADEMA ambayo haina mbunge wala waziri badala ya kumuamrisha aliyeko madarakani?

Mamlaka ya vyama vya siasa yanatoka wananchi? Kwahiyo ACT "nyie wananchi" ndio mmeiambia iungane na CCM kupinga katiba mpya?

Mmeviambia vyama vingine 18 vilivyobaki vifanye hivyo kama unavyoiamrisha CHADEMA kutokea hapo KUMBATO GUEST HOUSE?
 
Hahahahahaha swali gumu kwakoo, Bongo siasa ni ajira, abadani hawataukataa huo mpunga tupo hapaa na Mungu atupe uhai
Sasa watatumia Mbinu ipi kutushawishi kuwachagua?

Wapiga kura tuna maslah yetu ambayo Kwa namna Moja au ingine yanakinzana na ya wabunge,

Mishahara mikubwa walipwayo wabunge, inapunguza uwezo wa Serikali kulipia bima ya watoto chini ya miaka 5.
 
Salaam, Shalom!

Mimi ni MMOJA wa wananchi anayepinga wabunge kulipwa zaidi ya milioni 3 tatu, Kwa mwezi kutokana na Pato kiduchu

Amen
Ndiyo, mimi nitakuwa wa kwanza kuugomea na lazima waubadilishe!
 
Salaam, Shalom!

Mimi ni MMOJA wa wananchi anayepinga wabunge kulipwa zaidi ya milioni 3 tatu, Kwa mwezi kutokana na Pato kiduchu linalokusanywa maana ubunge ni KAZI ya kujitolea, ni part time job!!

Amen
Ndugu zangu waislam tususie na Tuacheni kutumia bidhaa za mskafir mashia kama mo Energy. Tutumie Azam energy na bidhaa zake.

Haiwezekani Iran na mashia kuwatuka na kuwadhalilisha maswahaba. Haijui kabisa akilini rafiki mkubwa wa karibu wa Mtume swahaba Abubakar Caliph atukanwe na mashia halafu tumekaa kimya.

Inauma na kuhuzunisha hawa makafir Iran na mashia wamdhalilishe na kumtukana mke wa kipenzi chetu bi Ayesha eti alikuwa kahaba na anaoga uchi mbele ya wanaume.

Wanatuletea maulid ya hovyo wanaqufr kweli kuna maulid ya Ali na Fatima kweli? Maulid ni moja tu ya Mtume Muhammad SAW.

Ndo maana siku ya Aaashuurah wanajipiga kujidhuru na majambia usoni utosini na mgongoni siyo wanahuzuni bali ni laana na majitu kutokwa maswahaba.

Tusikae kimya ndugu zangu waislam tuutetee uislam hata kwa nafs. Tukicheza tutakosa Janah na firdaus siku ya qyamah.
 
kwani katibu mkuu Dr slaa alikua analipwa ngapi, mashinji na JJMNYIKA analipwa ngapi 🐒

Kwan, Join the chain walilipana ngapi ngapi🐒

Ruzuku ya majuzi waligawana ngap ngap kwan 🐒

uwazi ni jambo muhimu sana aise
Chadema chama cha mabilionea waache hiyo pesa,utashuhudia usaliti wa kufa mtu yaani Sugu moto chini aachie ml.18 kwa mwezi thubutu lazima wamsaliti chaman mbowe
 
Kwahiyo unaiamrisha CHADEMA ambayo haina mbunge wala waziri badala ya kumuamrisha aliyeko madarakani?

Mamlaka ya vyama vya siasa yanatoka wananchi? Kwahiyo ACT "nyie wananchi" ndio mmeiambia iungane na CCM kupinga katiba mpya?

Mmeviambia vyama vingine 18 vilivyobaki vifanye hivyo kama unavyoiamrisha CHADEMA kutokea hapo KUMBATO GUEST HOUSE?
2025 ni uchaguzi ujue,

CHADEMA haiamrishwi hapa, inapewa mbinuu ya kushinda wabunge wengi kirahisi,

Imagine CHADEMA ukisema kuwa Wabunge wake wakichaguliwa, watakataa posho ya ml 18, milioni 5 Kwa mwezi inatosha.

Watapata kura nyingi sana.
 
CCM imeshathibitika Si chama tena chenye dira,

Ndio maana hatupotezi muda kujadili hapa.

Mategemeo yetu ni CDM chama mbadala, kitupe wananchi tumaini kuwa, wao wakipewa nafasi, watahakikisha wabunge wanapunguziwa mishahara isizidi 5 ml Kwa mwezi,

Ili pesa zinazobaki, ziende mashuleni, watoto wapate hata kikombe kimoja Cha uji utolewao na Serikali kupitia Kodi za wananchi.
Ndugu unapoteza muda tu ,mwenzio Lema anajua chaman Mbowe anazuga tuu,Lema hawez kuachia ml.18
 
2025 ni uchaguzi ujue,

CHADEMA haiamrishwi hapa, inapewa mbinuu ya kushinda wabunge wengi kirahisi,

Imagine CHADEMA ukisema kuwa Wabunge wake wakichaguliwa, watakataa posho ya ml 18, milioni 5 Kwa mwezi inatosha.

Watapata kura nyingi sana.
Wa kukataa hiyo posho toka moyoni ni Lissu pekee,Msigwa anahesabu zake alafu umwambie aache ml.18 hawezi kubali kwa nnavyomjua msigwa na hela yani watatoana macho
 
Chadema chama cha mabilionea waache hiyo pesa,utashuhudia usaliti wa kufa mtu yaani Sugu moto chini aachie ml.18 kwa mwezi thubutu lazima wamsaliti chaman mbowe
kipindi kile Mbowe alipojaribu kuwasusisha wenzie eti wagomee zile posho kipindi kile, J Shibuda na J Selasini walimwambia kama yeye hachangia kwenye harusi na rambirambi kwenye misiba ya wanainchi, aache lakini wao wanazichukua bila wasi wasi wowote 🐒

mwishowe nae akachukua vilevile 🤣
 
Ndugu unapoteza muda tu ,mwenzio Lema anajua chaman Mbowe anazuga tuu,Lema hawez kuachia ml.18
Lema ni kabaila yule, aliwahi kusema ml 12 ni pesa ndogo sana Kwa mbunge,

Mi najiuliza, asemapo ndogo, hajui tunaolipa wabunge ml 18, hatuna uhakika wa Milo 3!!

Uchumi ukikua Kwa wote, posho ziongezeke Kwa wote, hata walimu.
 
kipindi kile Mbowe alipojaribu kuwasusisha wenzie eti wagomee zile posho kipindi kile, J Shibuda na J Selasini walimwambia kama yeye hachangia kwenye harusi na rambirambi kwenye misiba ya wanainchi, aache lakini wao wanazichukua bila wasi wasi wowote 🐒

mwishowe nae akachukua vilevile 🤣
Ukiambiwa Mbowe ni msela tu anadanganya wenzake,hakuna wa kuacha Ml.18 la sivyo chama kitapasuka,akina Mwakajoka huwaambii kitu aisee
 
Lema ni kabaila yule, aliwahi kusema ml 12 ni pesa ndogo sana Kwa mbunge,

Mi najiuliza, asemapo ndogo, hajui tunaolipa wabunge ml 18, hatuna uhakika wa Milo 3!!

Uchumi ukikua Kwa wote, posho ziongezeke Kwa wote, hata walimu.
Ndio shida ya Lema,anaivizia hiyo pesa kwa hali na Mali,fikiria aikunje ml.18 kwa miaka mitano ni kama B.kadhaa
 
Back
Top Bottom