Je, wabunge watakaoshinda kupitia CHADEMA 2025 watagomea mshahara wa Milioni 18 kwa mwezi?

Eti nyie ndio mnahubiri Demokrasia,kwenye uzi tu unaweka vikwazo kwa wenzako,Chadema mna safari ndefu sana,ndio Mbowe na Lema wamewaibia pesa za Join the chain.
Mngekuwa mnajua maana ya DEMOKRASIA, msingeiba kura.
 
Wewe ndiye unayetoka povu. Badala ya kutumia akili unatumia fake emotions. Wala dhiki ya masikini wa Tanzania huijui.

Usingekuwa unawatumikia na kuwanyenyekea mafisadi wa CCM wanaoamua kujilipa mamilioni na mabilioni kiasi hicho.

Unahangaika kuhamishia attention kwa CHADEMA wasio na influence serikalini wala bungeni? c'est très
bizarre
!
Kwahiyo CHADEMA 2025 haitapata mbunge hata mmoja 2025?

Na kuhoji ikiwa atapokea mshahara wa ml 18 Kuna kosa Gani?

Pia ujue mm siko chama Cha waiba kura,

Mimi ni Mtanzania huru nisiyefungwa na minyororo ya uchama, ni mzalendo wa Nchi yangu.

Wewe una maslah na fursa zitokanazo na ubunge?

CHADEMA lazima tuhoji Ili tujue ikiwa wamedhamiria kuongoza nchi Kwa HAKI, au nao ni wale wale.
 
Hiyo ni agenda ya ACT Wazalendo. Adui yao mkuu ni CHADEMA si CCM.

Hao lengo lao tangu awali ni kutumia mwamvuli wa “upinzani” kuelekeza mashambulizi yasiyo na mantiki; ya kihisia zaidi kwa CHADEMA huku CCM ikiachiwa nafasi ya kupumua katika harakati zake za kufisidi taifa. Na kuwagawia kitu kidogo.

Ndio sababu ya mtu kukomaa na mada isiyo na mantiki.
Ikiwa huoni mantiki kwenye mada hii umeamua kutoiona,

Na ujue HAKIKA kuwa Rabbon hawezi kuwa chama kimoja na Zittow ndumilakuwili.
 
Unamaanisha kauli ya Mh Mbowe ni ya kisiasa zaidi,

Tuipuuze?
Mimi sidhani kama wakiwa bungeni wanapaswa kuigomea mishahara hiyo, bali wanapaswa kufanya ni kupambania sheria hiyo inayotoa mishahara mikubwa tofauti na kada zingine muhimu kama udaktari, uhandisi nk.
Na jambo hilo walikuwa wanalipigia kelele sana walipokuwa bungeni na kutaka watumishi nao wakumbukwe! Tusijitoe ufahamu kwa hizi propaganda za ccm kwani hawa wapinzani wamekuwa wakitupambania sana katika hilo.

Sent from my SM-A125F using JamiiForums mobile app
 
CHADEMA watataka uongezwe hadi 20m. Huyo Mbowe ni uchungu tu ulimpata kwa kuzikosa hizo 18m. Kipindi Zitto anakataa kupokea posho hao CHADEMA walimshambulia sana na kudai kuna taasisi ya nje inamlipa hela nyingi zaidi. Mtu kama Lema ambaye huchukulia mikopo huo mshahara wa bunge na kuingiza kwenye biashara zake anawezaje kukataa mshahara usiongezwe?
 
Pale bandarini mlisema kuwa wale wafanyakazi wote hawatapoteza ajira?

Nini kinaendelea hv sasa?
Unajua maana ya kupoteza ajira? Wamepewa fursa ya kuhama au kuajiriwa DP World, hivi Chadema huwa mnasoma vitu kweli,au mnapotosha makusudi?
 
Mtu analipwa hela kibao kwakupitisha asichokijua. Lugha hajui halafu eti anapitisha muswada.
Eti akisema ndioooooo ndio imeenda hiyo yaaaani imeeendaaaaa. Inaenda kusainiwa iwe sheria.
Walipwe laki tisa kama polisi walimu na manesi
 
CHADEMA kama chama kikuu, chama mbadala,

Itoke na kusema wazi,

Upi Hasa unatakiwa kuwa mshahara wa mbunge,

Mimi nionavyo,

Mbunge hapasi kulipwa zaidi ya ml 3,
Najua chawa mnaumia sana maana kama zikipunguzwa tu na kazi zenu humu mtandaoni zitakuwa kwishney. Sijui ni kwa nini chawa wa ccm wamekasirishwa na kauli ya mbowe kiasi hiki
 
Najua chawa mnaumia sana maana kama zikipunguzwa tu na kazi zenu humu mtandaoni zitakuwa kwishney. Sijui ni kwa nini chawa wa ccm wamekasirishwa na kauli ya mbowe kiasi hiki
Jibu HOJA,

Usiniujumuishe kwenye chama kinachoiba kura.
 
Hoji chanzo cha tatizo. Sasa hapa unahoji watu ambao hawako serikalini wala bungeni? Unahoji uongozi wa CHADEMA kuhusu matumizi ya kodi zako? Halafu unauliza swali la kinadharia wakati kodi zinafujwa in real time? Be serious please.

CHADEMA chama mbadala chenye mbunge mmoja tu wa jimbo?

Inakuwaje unaogopa kuwagusa wanaohusika na ufujaji mkubwa wa fedha za umma unaoendelea nchini hivi sasa? Subiri CHADEMA waingie bungeni au madarakani uwape kazi ya kufanya. Unachofanya hapa ni kupiga ramli.
Muulize mleta mada, hii inchi ni yetu sote, Kila mtu anayeumizwa na tatizo hili ni jukumu lake kutafuta namna ya kulitatua. Kwa kuwa ameliona tatizo na anafikiri wa kulitatua ni chadema, basi naye ajiunge na chadema, agombee ubunge, apambane na kukataa wizi huu.
 
Mtu analipwa hela kibao kwakupitisha asichokijua. Lugha hajui halafu eti anapitisha muswada.
Eti akisema ndioooooo ndio imeenda hiyo yaaaani imeeendaaaaa. Inaenda kusainiwa iwe sheria.
Walipwe laki tisa kama polisi walimu na manesi
Walipe Laki tisa😳
 
Kwa mtazamo wangu concept yake ilikuwa inalenga ni kwa namna gani viongozi wabinafsi, wanajiongezea wao mishahara ili hali watumishi wa umma kama walimu, madoctor, askari n.k kilio chao cha muda mrefu hakifanyiwi kazi
 
Kusema CCM wanaiba kura ni kuwatukana,

Au ndio kusema ukweli mchungu!!
Unaona maneno anayotumia yule bilionea wenu Jacob dhidi ya ACT? Kama mnaona ACT inakufa achaneni nayo tuu ijifie si kutumia maneno kama yale,nyie jengeni chama mbona mlipofika CHADEMA ni pakubwa tuu
 
Back
Top Bottom