Stephen Ngalya Chelu
JF-Expert Member
- Oct 31, 2017
- 7,628
- 16,417
Naipata, chuma imesimama kweli ila bongo sizionioni, wabongo tukiacha kufuata mkumbo tutamiliki magari mazuri sana...Kweli mkuu, afu hivi unajua ukiachana na forester kuna mnyama outback nae si poa wakenya wapo bongo ndio nimewaona nazo sana.