Je, utawala wa IST unafika Kikomo?

Naipata, chuma imesimama kweli ila bongo sizionioni, wabongo tukiacha kufuata mkumbo tutamiliki magari mazuri sana...
Afu mfano zile premio, Mark x, athlete na baadhi ya sedan za BMW na audi watu bado wanakomaa nazo as zipo so overrated Na overpriced while ukiangalia Honda na mazda wana same profile cars Kwa bei nzuri afu zina tech ya kisasa kabisa.
 
Sana mkuu maana hizi hizi budget za anaconda, tako la nyani, dualis etc unapata chuma kali sana.

Afu mfano zile premio, Mark x, athlete na baadhi ya sedan za BMW na audi watu bado wanakomaa nazo as zipo so overrated Na overpriced while ukiangalia Honda na mazda wana same profile cars Kwa bei nzuri afu zina tech ya kisasa kabisa.
hayo magari uicheki hata kodi yake ni ndogo, sema ndo hivyo tena. ila nadhani watu wanaenda wanabadilika kidogo kidogo.
 
Kwenye wese haipishani sana na ist?
Ulihamia chuma gani mkuu maana dualis ina 5 seats
Nimekaa humu saa hivi
92ydm3.jpg
 
DUALIS kwenye wese imekaaje?
Kwa mimi Nissan mid range car naona X-TRAIL (2nd generation) ina rating nzuri kuliko Duals
Kuhusu IST ile gari imefanya vizuri sana na watu wengi wenye maisha ya kati wanatamani kuimiliki
Swala la kutoagizwa kwa wingi, ni kanuni ya kawaida ya soko (kwa sababu zimenunuliwa nyingi sana tayari)

Nyongeza; X- trail (3rd Generation) ina engine kama ya IST (1300cc) nafikiri itakuja kushika soko kama IST zikifika huku kwani inatumia mafuta kidogo sana kwenye kms 21 kwa lita
 
X trail labda zile new models ila ile old model ni ya kawaida sana ...its better dualis kuliko old x trail
Kwa mimi Nissan mid range car naona X-TRAIL ina rating nzuri kuliko Duals

Back
Top Bottom